bandari ya bagamoyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Mradi wa bandari ya Bagamoyo nani mkweli?

    Awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k Awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba Lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya Bagamoyo Awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya Swali ni je, kwa uzoefu wetu katika...
  2. Duplicate_90

    Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

    Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji. Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge ameonekana kulikingia kifua na kudiriki kusema kuwa Mh Rais alishauriwa vibaya. Je, Mh Ndugai...
  3. Torero

    Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi. Yafanyike maandalizi mapema na washirika wote wakae katika mazungumzo ili hatimae mradi uanze kazi mara moja. Ikumbukwe mradi huu...
  4. Yoda

    Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

    Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
  5. Offshore Seamen

    Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama Bandari ya kimkakati isifanye kazi zinazofanywa na bandari ya Dar

    Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama bandari ya kimkakati iwekewe gari(berth) ambazo bandari nyingine hazina. Pia ujenzi wake kama utapitishwa itabidi tenda itangazwe upya na mzabuni atakayeshinda ndio atajenga tusimkumbatie mchina hata kama ni rafiki yetu. Tanzania tangu tupate uhuru hatuna...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Naomba kueleweshwa uhusiano wa Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR

    Habari za Leo wakuu, Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR. Hivyo vitu viwili vinaingilianaje? Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR? Naomba kuwasilisha mada mezani
  7. Nyankurungu2020

    Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

    Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu. Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa...
  8. K

    Kabla ya Bagamoyo, Palikuwepo na mpango wa Bandari ya Mwambani, Tanga

    Bagamoyo imekuwa Bagamoyo, kisa, Kikwete alivunja ahadi ya ujenzi wa bandari Mwambani, Tanga. Sasa makelele yanasikika kila sehemu kuhusu Bagamoyo, na hakuna anayekumbuka Mwambani ilikuwaje? Eleza, Mwambani haikuwa na vigezo ilivyonavyo Bagamoyo? Ile bandari itapitisha bidhaa za Uganda...
  9. T

    Nitakuwa tofauti na Mh. Spika kuhusu hili la Bandari ya Bagamoyo

    Na Thadei Ole Mushi. Spika wa Bunge kaishangaa Serikali kuanza kutengeneza Reli badala ya Kuanzia na bandari. Si mara ya kwanza Kwa Mh Ndugai kusema kuhusu ujenzi wa BANDARI hii mwaka 2019 alisema hata wachina wanatushangaa na wakatufananisha na MTU aliyetanguliza mkokoteni mbele halafu punda...
  10. J

    Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  11. S

    Sasa ni wakati wa kuianika mikataba yote ya Magufuli kama wao walivyoanika mkataba wa Bandari ya Bagamoyo na mingineyo

    Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo. Tukumbuke ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulifutiliwa mbali kwa hoja mkataba wake ulikuwa mbovu na baaadhi yawatu...
  12. M

    La Bandari ya Bagamoyo kama ni kweli basi ni ukombozi

    Asalam ndungu zangu! Nimepitia mitandao naona suala la Bandari ya Bagamoyo limeibuka upya. Limeibuka kwamba limepata ufunmbuzi na litatimia. Faida na hasara zake. A) Faida 1. Uhamishaji wa teknolojia kwa haraka. Tuliambiwa Kuna viwanda takribani 700 kwenye ukanda wa Bandari na maeneo jirani...
  13. B

    Kwanini China imeanza kutajwa kwenye ufadhili miradi mikubwa na kimkakati ya Tanzania wakati walitaka kutuingiza chaka bandari ya Bagamoyo?

    China imejizolea umaarufu Kama Taifa lenye mahusiano makubwa na mazuri na Tanzania. Limeonekana kuwa moja ya Taifa lenye nia nzuri na Tanzania kiasi kwamba Rais wake alipewa fursa ya mazungumzo ya lisaa limoja na Rais Wetu. Ila Taifa la China lilipewa kujenga bandari ya Bagamoyo baadaye...
  14. S

    Uchaguzi 2020 CCM Korogwe mlikuwa mnamdanganya nani? Kwanini mlijaza wanafunzi mkutanoni?

    CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga. Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli. Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
  15. ACT Wazalendo

    Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka

    Leo chama chetu kinampokea rasmi Ndugu Benard Membe ndani ya chama. Kiongozi wa chama, Ndugu Zitto Kabwe; Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Maalim Seif Sharifu Hamadi; na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu na viongozi wengine wa chama wa Bara na Zanzibar wote watawaongoza wanachama kumpokea...
  16. K

    Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

    Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni. China watahakikisha wanatumia kila namna...
  17. S

    Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo waweza kurejea rasmi hivi karibuni

    Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ambao wafuasi wa Chama cha Lumumba walidai ni wa kinyonyaji unatarajiwa kurejea rasmi. Sasa Bagamoyo kuwa kama Dubai. ======== Discussions are ongoing to get the China-backed US$10 billion Bagamoyo Port project in Tanzania, which was “suspended indefinitely” by...
  18. esther mashiker

    Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo. Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
  19. BAK

    Mkurugenzi TPA: Mkataba wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeifilisi Tanzania

    Bandari ya Bagamoyo ingefilisi, kuuza nchi Sunday May 19 2019 Kwa ufupi Pamoja na kusamehewa kodi na ushuru mbalimbali kama zile za lazima kisheria, kulipwa fidia ya hasara ya kibiashara watakayopata kwa mujibu wa mahesabu yao, mwekezaji pia aliweka sharti la kuachiwa ajipangie bei ya kuwatoza...
  20. Zitto

    Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

    Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb (Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo) Juzi Serikali imetangaza bungeni kuwa Mradi mkubwa wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) wa thamani ya Dola za...
Back
Top Bottom