Katika miongo miwili iliyopita, tumeshuhudia uwekezaji mkubwa ukifanywa na Serikali ya Tanzania kwenye miundo mbinu ya usafiri na usafirishaji.
Ukiacha ujenzi wa barabara ulioongeza mtandao wa barabara nchini humo hadi kufikia zaidi ya kilometa 86,000, kuna miradi ya Reli ya SGR iliyowekezwa...