Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amesisitiza kuwa mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai siyo wa kubinafsisha, bali ni ukodishaji wa shughuli za uendeshaji kwa mwekezaji.
Akizungumza jijini Mwanza Julai 30, 2023 wakati wa mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema wanaopinga uwekezaji wa bandari za Tanzania hawana maono na maendeleo yanayoletwa na serikali.
Akizungumza wakati wa mkutano unaofanyika jijini Mwanza amesema uwekezaji huo utasaidia katika usafirishaji wenye urahisi wa mizigo mbalimbali kupitia...
Mama yangu Rais Samia kwanini mkataba moja huu wa bandari utumie nishati kubwa namna hii. Huu ni mkataba moja tu je utaweza kufanya chochote km kiongozi mkuu wa nchi? Nachoogopa kwa kuwa uelewa wa watu bado ni mdogo ndio mtawachanganya zaidi. Bunge limeshapitisha, na bunge ni wawakilishi wa...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUMALIZA MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI NCHINI TANZANIA
Utangulizi
Katika juhudi za kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii, serikali na taasisi za umma hufanya mikataba na wawekezaji ili kuvutia uwekezaji na kuleta maendeleo katika nchi. Hata hivyo, mikataba...
Ukweli ni kwamba,
Kama kuna kitu kimewapa Hali ngumu CCM na Rais kwa ujumla basi ni hili Sakata la bandari.
CCM kwenye corridor nakutana nanyi na uzuri ni kwamba baadhi yenu mnakiri kabisa kwamba kwa hili tumeingia chaka na hatujui hatima yake hasa 2025. Baadhi mnakiri kabisa tuna wakati mgumu...
Shukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ???
Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ??
Yaani maendeleo...
Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa.
Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama...
Wanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why?
Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)!
Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao!
Wananchi tusikubali...
1st Dot:
DP World Foundation hata kabla Watanzania hatujajua mkataba uliosainiwa wa kupora Bandari zetu wakakimbilia Mbeya kugawa Futari mwezi mtukufu wa ramadhani uliopita.
2nd Dot:
DP World Foundation wamekiri wazi kuwa specifically walichagua mikoa miwili ya kugawa "Futari" zao, kwa...
Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.
Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika
Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Huyu mwamba Boniface Mwabukusi, Wakili Msomi ameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa Nchi yake! Wachuuzi wa rasilimali zetu amewakaba koo kweli kweli!
Whatever the outcome ya High Court Judgement on 7/8 but the fact is clear that, Learned Counsel Boniface Mwabukusi is the hero of our times!
Mbona...
Mwanafilosofia na mwanahistoria Niccolo Machiavelli kutoka nchini Italia aliwahi kusema " the end will justify the means" ambapo tukipeleka Kwa tafsiri isiyo rasmi alimaanisha " hata jambo baya likiwa na matokeo mazuri basi jambo hilo "morally" linakuwa ni zuri".
Kinachoangaliwa na kutazamiwa...
Mheshimiwa Mbowe nimefualtilia kwa makini mkutano wako siku ya leo huko Mutukula mkoani Kagera ambapo chama kina operesheni ya +255 Katiba mpya + Okoa bandari zetu. Lakini nimeshangazwa na hotuba yako nzima hukugusia kabisa suala la bandari wala katiba mpya nikashangazwa sana.
Iweje Mwenyekiti...
29 Julai 2023
Dar es Salaam, Tanzania
MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM, KUUTETEA KWA NGUVU MKATABA WA BANDARI
CCM yaanda mkutano uliowakusanya wana CCM kutoka mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam unaoendelea katika viwanja vya Kawe mjini Dar es Salaam
KISHINDO CCM KANDA YA MASHARIKI
Kama...
Wakuu, tupo live leo kutokea Viwanja vya Uhuru, Bukoba kwenye uzinduzi wa Operation 255 Katiba Mpya okoa Bandari Zetu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na Tundu Lissu na John Mnyika pamoja na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho watakuwa wanazungumza.
===
Chopa...
Ndugu zangu Bwana wa Mbiguni akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua. Nijikite kwenye mada moja kwa moja na kama kichwa cha habari kinavyohusika.
Nakumbuka kipindindi cha Mwendazake alijitokeza mwanaharakati mmoja alieitwa Kigogo, huyu bwana aliteka sana mtandao wa Tweeter, ila siku...
Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili.
Hata kama kuna jambo baya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.