Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world.
Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way.
Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba...
Huyo ndiye Wakili wa Serikali ambaye ni miongoni mwa wale wanaoshindwa na Kesi za Masuluhisho nje.
Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni.
Tetesi zinasema tayari wanachama wengi...
Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mohamed Salum amesema mkataba baada ya kusainiwa Oktoba 25, 2022 ulipelekwa Bungeni Februari 2023 kwa ajili ya hatua za uridhiwaji ambapo alisisitiza kuwa kabla ya Azimio halijapelekwa Bungeni lilipitiwa na Mfumo mzima wa Serikali ambao ni...
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana ametofautiana msimamo na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mkataba wa bandari.
Kinana anasema wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya, wako wanaotetea mkataba na wametoa...
Nimekuta mahali mjadala mkubwa kuhusiana na kuondolewa kwenye nafasi zao Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athumani ikidaiwa kuwa kuna uhusiano na misimamo waliyokuwa wameweka kuhusu mkataba wa Bandari.
Baadhi ya...
Miaka michache kabla ya utawala wa JK kufikia tamati kuliibuka swala la GAS Mtwara, kwa maneno ya Wapinzani mkataba wa Gas Mtwara ukapata pingamizi kubwa zaidi ya pingamizi zinazoonekana leo, hata kufikia wakati Jeshi likaingizwa kazini ndio mkandarasi aweze laza mabomba ya gas. Mabomba hayo leo...
NDUGU MARY CHATANDA - PUUZENI WAPINZANI WANAOICHAFUA CCM JUU SUALA LA BANDARI
Mwenyekit wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu Zainab Shomari wakiambatana na Kamati ya Utekelezaji wamewasili Wilayani Namtumbo na Tunduru Mkoa...
Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka.
Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...
Tangu mjadala wa BANDARI kuanza sijamsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana akizungumzia Mkataba wa Bandari, au ameshagundua hili ni bomu linaloweza kuua Chama.
au kama kuna clip mnayo ya Mze Kinana akisifia mkataba wa bandari. muiweke hapa kwa ajili ya rejea
Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
#Update KESI YA BANDARI.
Majaji wanaingia muda huu saa 09: 20
MAJAJI watatu;
1. Hon. Ndunguru
2. Hon. Ismail
3. Hon. Kagomba
Wote wameinama wanaandika
Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa pande zote.
MAWAKILI WA SERIKALI;
1. Adv. Mark Muluambo
2. Edson Mwaiyunge
3...
Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla,
Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili.
1. Dar es Salaam ndio...
Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya bajeti na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Sillo Julai 22, 2023 amesema ya kwamba wapo waliobeza filamu ya Royal Tour lakini leo watalii wameongezeka
Mhe. Daniel Sillo akasema hata swala la uwekezaji wa...
Kesi iliyofunguliwa na jopo la wanasheria wazalendo kule Mbeya kupinga mkataba wa bandari kila mtanzania ana hamu ya kufahamu nini kitaendelea mahakamani katika kesi hiyo.
Lkn cha kushangaza media za hapa bongo zimekaa kimchongo, kichawa na kinafiki badala ya kujipanga na kurusha kesi hiyo...
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine
---
Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema
Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...
Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.