Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amesisitiza kuwa mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai siyo wa kubinafsisha, bali ni ukodishaji wa shughuli za uendeshaji kwa mwekezaji.
Akizungumza jijini Mwanza Julai 30, 2023 wakati wa mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi...