DP WORLD HAWAWEKEZI BANDARI ZOTE, TUSIMMEZESHE MANENO CHONGOLO!!
Nimeona "clip" iliyotengenezwa na vijana wa CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati wao kupotosha hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwamba DP World itaendesha bandari zote.
SI KWELI: Bali Mhe. Chongolo alikuwa...
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.
Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es...
SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
Wananchi wa kawaida wamefanya igizo fupi.
Wametumia mfano rahisi ili watu wagumu waelewe jinsi bandari inavyouzwa.
Kula chuma hicho.
My Take
Hiyo haki jinai ni sarakasi tu. Wananchi mna wajibu wa kuwalinda hao wananchi badala ya kusubiri Serikali iwalinde
Mwenyezi Mungu alitupa nchi takatifu. Akatupatia waasisi. Akawapa elimu na utambuzi na akaamuru tuwe taifa huru. Watu mtakaoishi humo mpate hifadhi ya makazi na ardhi nzuri ya kuzalisha kila aina ya bidhaa.
Ardhini akawawekea wanyama ili mkiwatumia na kuwahifadhi mpate fedha za kuishi...
ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini
yaani umeewa bandari unatuambia bandari inakusanya bilioni 700 na serikali inaata bilioni tatu, sekita binafsi sisi kwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu.
Yote yanayojiri utayapata hapa.
===
MKUTANO...
Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga"
Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya...
Profesa Makame Mbarawa amekuwa akisema DP world ilipewa mkataba wa bandari kwa kuwa ilishinda kwenye kuomba zabuni ya uwekezaji wa Bandari (akidai ikizishinda kampuni zingine saba) na wakati huo huo document za mikataba ambazo zimetiwa saini na Professor Mbarawa huyo huyo zinaonyesha DP world...
WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU!
Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania!
Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini.
Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD.
Yaani kuwe na room ya makundi haya...
MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI.
1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu.
2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona.
Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai.
Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini...
Wajumbe,
Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji.
Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi...
Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee.
Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
akili
bandari
bora
dikteta
hatimaye
jirani
kuliko
mdogo
mkataba
mkataba wa bandari
nia
raisi
ubinafsishaji
uwezo
uwezo mdogo
uzalendo
wanataka
watanzania
Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo.
Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu
"Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu.
Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka...
Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.