Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.
Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi...
HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk. Yudas Ndugile amebainisha hayo jana kwenye ziara ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
Kuhusu bandari mimi siungi mkono ubinafsishaji wake hata kidogo! Ibinafsishwe ili sisi tufanye nini? Kwani uendeshaji wake unagharimu nini ambacho hatukimudu kama nchi? Mbona ATCL inapewa ndege mpya na serikali na bado inapata hasara ila haibinafdishwi?
Bandari inaingiza hasara gani mpaka...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika...
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
.
Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu"
Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hii👇👇👇👇👇👇👇👇
Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini
Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila...
Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World.
===
Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
Mjadala wa Bandari umeteka mitandao yote iwe Instagramu, Jamii Forums, Youtube, Twitter, Facebook na mitandao mingine, pia mjadala mkali kwenye vijiwe vya kahawa, mitaani na maeneo mbalimbali yanayokutanisha watu kila mtu akiongea la kwake.
Tumeshamsikia Waziri Profesa Mbarawa, Tumemsikia...
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma...
SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.
"Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka...
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
Ni wazi kuwa mjadala kuhusu bandari ulianza vizuri na kuleta radha kwelikweli lakini ghafla uliharibika baada ya kuvamiwa na wanasiasa na watu ambao waliingiza hisia ambazo hazileti afya katika umoja wetu wa kitaifa. Ushiriki wa sector binafsi katika uzalishaji na utoaji huduma sio Jambo geni...
Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!
Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za...
Amani iwe kwenu Watanzania
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeainisha wazi kwamba serikali haina dini na imeenda mbali zaidi kwa kutoa hakikisho lenye ulinzi wa Kikatiba wa Uhuru wa Kuabudu. Ingawa kiutekelezaji wake unahitaji ithibati ya serikali isiyojiingiza kwenye masuala ya...
Wakili Boniface Mwabukusi amesema wao kama Wanasheria hawatoruhusu Mikataba ya Kijinga, Wizi, Ufisadi na isiyo ya Kizalendo ikiwemo kuwepo Viongozi ambao wanatoka waziwazi na kushangilia Wizi na kuongeza kuwa Mkataba wa Ushirikiano wa Dubai na Tanzania ni wa Kijambazi.
Amewambia Mawaziri Nape...
Wananchi wa Bagamoyo mkoani Pwani, wataendelea kusimama na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha Bandari ya Dares Salaam inaleta tija zaidi kwa Watanzania wanufaike kichumi.
Hayo yalisemwa na Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu, wakati akizungumza na wananchi katika...
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, Wakili Peter Madeleka amesema watu wengi wanaomchukia hawamwambii ukweli Rais Samia zaidi wanaishia kumsifia hata anapokosea. Amesema Rais Samia anatakiwa kukaa na kutafakari kusudi la Mungu wake kumfanya awe Rais kwasababu hakupigiwa kura...
Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.
Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.