Huwa na waza sana, kwamba ili mtu awe hai ni lazima moyo uendelee kufanya kazi na kusuply damu maeneo yote ya mwili.
Sasa wanasayansi wanashindwa vipi kutengenezea moyo bandia ili usaidiane na moyo halisi, ili itapofika muda moyo halisi umeshindwa kufanya kazi basi moyo bandia unaendelea...
Habari wanajamii forums,
Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence).
Hivyo kwa wanaopenda kufanya tafiti katika eneo la matumizi ya akili bandia kwenye mambo ya sayansi na uhandisi karibuni...
Leo tunakutana hapa kujadili mustakabali wa nchi yetu katika ulimwengu wa teknolojia, hususan Teknolojia ya Akili Bandia (AI). Teknolojia hii ina uwezo wa kubadilisha maisha yetu kwa kiwango kikubwa ndani ya miaka 5 hadi 25 ijayo. Lakini kwanza, tuanze kwa kuelewa akili bandia ni nini...
Nimeangalia Maua yana bei sana. Nimeshindwa kujua kwanini?
Natamani kuuza maua kwa bei rahis lakini siijui hii biashara?
Nahitaji ushauri
1. Biashara ikoje?
2. Kuagiza nje na kununua jumla hapa bongo ipi bora?
3. Wateja ni kina nani hasa?
4. Faida yake
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mtumishi (Mhasibu) wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu huku likimsaka mwingine kwa tuhuma kuhujumu mapato ya Serikali kwa kutoa risiti bandia za EFD.
Kulingana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu Juma Hokororo amesema watumishi hao...
Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii
I) KUELIMISHA UMMA
Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
UTANGULIZI
Kuelekea Tanzania tuitakayo,
Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23% katika pato la Taifa, na ndiyo sekta iliyoajiri watanzania wengi takribani 65.5% ukilinganisha na sekta...
Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
akili
akili bandia
artificial intelligence
bandia
fake
fake news
habari
intelligence
katika
kutengeneza
misinformation
mkubwa
news
program
programu
tanzania
tasnia
tasnia ya habari
uwezo
watanzania
Tusipo jiandaa mapema, Watanzania wanaweza wakatumbukia kwenye dimbwi kubwa la migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa matukio yenye uhusiano na magonjwa ya akili. Hii ni kutokana na madhara yatakayosababishwa na program za Akili Bandia zenye uwezo wa kutengeneza...
Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu.
NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI huyo ni mchawi mwana wa ibilisi.
Hao wadada ni wachawi na washirikina wazoefu waliojaa kiburi...
Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na wananchi kuhakikisha jamii na Mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
Cloud seeding ni aina ya maboresho ya hali ya hewa yenye dhumuni la kubadilisha kiasi au aina ya mvua, kupunguza mvua za mawe au utawanywaji wa ukungu. Ila Mara nyingi lengo huwa ni kuongeza uwezekano wa unyeshaji wa mvua au kuangushaji wa snow, ama kwa namna nyingine njia hii hutumika kuzuia...
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara ACP Lukas Mwakatundu amesema kuwa Jana tarehe 7 katika kizuizi cha Minjingu kuna gari lilitupita pale likagoma kusimama likagonga kizuizi ndipo Polisi wakapata wasiwasi kwamba kwanini amegoma kusimama, tukaanza kumfuatulia mpaka eneo la Kiongozi...
Habari wadau!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,ijue biashara ya nywele faida na changamoto zake,kwanza kabisa naweza kusema biashara ya kuuza nywele za bandia ni kama biashara zingine,inakuhitaji ufanye tafiti kabla ya kuingia kwenye biashara hiyo ili uweze kujifunza namna ya kuifanya kwa...
Wanadamu wanaweza kuwa na wasiwasi na hofu mbalimbali kuhusu akili ya bandia (AI) kwa sababu kadhaa:
Hofu ya Kuhamishwa kwa Kazi: Moja ya hofu ya kawaida ni kwamba teknolojia za AI zitabadilisha kazi, na kusababisha ukosefu wa ajira kwa watu wengi. AI inapoendelea kusonga mbele, kuna wasiwasi...
Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini...
Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limekamata noti za fedha zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 13 za bandia pamoja na Mtambo wa kutengeneza pesa hizo Maeneo ya Goba jijini Dar es salaam ambapo baadhi ya noti hizo zilishaanza kutumika mitaani ikiwemo Msata, Chalinze Mkoani Pwani
Tukio hilo...
Kwa Kiswahili
Prof Bibling amekuwa na tabia/taratibu/tija na amekusanya mbinu zilizothibitishwa za mazoea ya kujenga na kuongeza tija katika kubadilisha tabia.
Mbinu hizi zimetoka kwenye vitabu vinavyojulikana kama vile Atomic Habits, Indistractable, Make Time, GTD na vitabu vingine vingi...
Kampuni kongwe katika tasnia ya teknolojia,Google wamepokea maelfu ya lawama kutoka kwa wanajamii wa AI baada ya bidhaa yao mpya ya Gemini AI kudhihirika kuwa na uwezo mdogo tofauti na ilivyooneshwa kwenye demo
Mpaka sasa hakuna anaejua sababu halisi za kampuni hiyo kongwe kabisa kufanya...
IQ>>AI
Na KENGE
Technology ya AI inazidi kukua siku hadi Siku,kupelekea makampuni makubwa kama Google na Microsoft kushindana ubunifu wa AI Technology.Kwasasa tumeona picha nyingi zikisambaa kila mtu anaweza kutengeneza picha yake kama tulivyoona hapa
Jinsi ya kutengeneza Picha kwa AI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.