Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu.
Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la Nyerere ndio Januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe Januari tusisahau alipinga ujenzi...
Aloo nilichokutana nacho leo balaa, nawaombeni wadada mnaoweka hizi kucha za bandia kuweni makini kwenye sehemu zenye mkusanyiko wa watu. Leo nimekoswa kutobolewa macho kwenye daladala.
Sawa tunajua mnataka muonekane warembo, ila basi jaribuni kulinda usalama wetu sisi wengine. Sio kwamba...
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Bilionea Elon Musk imepata kibali cha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa Binadamu baada ya kufanya upandikizaji huo kwa Wanyama.
Kwa mujibu wa taarifa za #Neuralink, Watu watakaopandikizwa kifaa hicho au Wagonjwa wataweza...
'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini?
Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya...
Mwishoni mwa siku ndefu, unagundua kuwa unaanza kuhisi maumivu ya kichwa. Unachokifanya ni kunununua dawa za kutuliza maumivu kutoka kwa muuzaji wa mtaani, na unakunywa mbili. Lakini unajuaje tembe hizo ni sahihi ama sio feki? Muuzaji sio duka halisi la dawa lililothibitishwa. Hakuna kifungashio...
Zaidi ya viongozi na watafiti 1,000 wa teknolojia, akiwemo Elon Musk, wamezitaka maabara za ujasusi za bandia kusitisha maendeleo ya mifumo ya hali ya juu zaidi, na kuonya kwamba zana za AI zinaleta hatari kubwa kwa jamii na ubinadamu.
Barua hiyo ya wazi, iliyotolewa na Taasisi isiyo ya Faida...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOSEPH NGOYA mwenye umri wa miaka 34, Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za kupatikana na Noti bandia za shilingi elfu kumi.
Ni kwamba mnamo tarehe 23.02.2023 huko maeneo ya Kituo cha Mafuta (Sheli) ya Kazibure iliyopo barabara Kuu (Tunduma...
Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika huko Uingereza. Umetengenezwa kwa mbao. Wataalam wa mambo ya kale wanasema ulitumika katika karne ya pili.
Wataalam wanasema ulikuwa unatumiwa na wanawake kama dildo. Dildo hilo lina urefu wa sentimita 16, kwa kawaida uume wa binadamu...
Hei, vipi!!?? Mungu atapaa chini lini wenye hayo maluelue na kumsuburi wapae naye mbinguni na kuwalisha duniani kimiujiza bila kufanya kazi, WAKATI MUNGU WA KWELI ANASEMA, ASIYEFANYA KAZI NA ASILE, NA MBINGUNI NI KWA NJIA YA KIFO TU!!?? Hivi, waliokufa sasa hawako mbinguni, wameozeana mpaka...
Mwanateknolojia wa kibaolojia na mtayarishaji wa Filamu Hashem Al-Ghaili anatupeleka kwenye ziara isiyotulia lakini ya kuvutia ndani ya EctoLife - kituo cha kwanza cha uzazi wa mpango
EctoLife ni teknolojia itakayowapa wazazi wa siku za usoni njia mbadala inayodhaniwa kuwa salama zaidi ya...
Kwema Wakuu!
Ndio nimeamka sasa hivi Hapa, nikaota na kuambiwa kuwa JPM alipambana na maadui Bandia huku akiwaacha Maadui halisi wakipeta. Ndoto hiyo ambayo nina uhakika nayo Kwa Asilimia Mia moja inanipa tafsiri kuwa JPM alishindwa kutambua maadui wake halisi na Hilo kwenye uwanja wa vita ni...
Kamouni inayomilikiwa na Tajiri namba 1 duniani Elon Musk, Neuralink Corp. imesema ndani ya miezi 6 itaanza majaribio teknolojia yake ya kupandikiza 'Neva za Ubongo' kwa binadamu.
Neuralink imesema tayari imewasilisha nyaraka za ukaguzi wa teknolojia hiyo kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa ya...
Habari,
Wana JF mimi sina utaalamu wa uwandishi hivyo tuvumiliane kwa wale wakosoaji wa uwandishi.
Twende kwenye lengo, hivi karibuni kumezuka mia 500 fake nyingi sana mtaani, ambapo mwisho leo usiku huu nimekutana nayo na nikathibisha madai haya niliyowahi kusikia kabla.
Utaijuaje ni fake...
Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki.
Mashindano hayo limegawanywa katika vikundi vitatu vikiwemo vya watoto, shule za msingi na shule za...
Chuchu bandia zimekuwa zinatumika sana katika kurahisisha uleaji wa watoto, hasa wale wakorofi.
Huwasaidia wazazi kupata uhuru kidogo wa kufanya kazi zingine kama kupika, usafi wa nyumba au hata kukamilisha biashara na kazi zao zingine.
Faida
Chuchu bandia huwa na faida nyingi. Miongoni mwa...
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliyopo jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhitaji wa matiti bandia kwa ajili ya kusaidia akina mama wenye saratani ya matiti ambao wengi wao wamekuwa wakikatwa titi na hivyo kuhitaji titi bandia ili wawe na mwonekano mzuri.
Hayo yameelezwa leo jijini Dar es...
Mkutano wa akili bandia duniani mwaka 2022 umefunguliwa leo katika Kituo cha Maonyesho cha kimataifa huko Pudong, Shanghai. Kauli mbiu ya mkutano huu ni "muunganiko wa akili bandia, fursa zisizo na ukomo".
25/08/22 Wilayani Kisarawe kata ya Sanze mtaa wa Kibon'gwa ndipo ilipokuwa kiwanda changu kidogo cha kutengenezea silaha bandia kwaajili ya filamu na video za muziki.
Ilikuwa saa 10:30 jioni muda ambao niliacha kufanya kazi na kutaka kutoka ndani ili niende kupata chakula cha mchana lakini kwa...
Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini)
Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.