- Wanasayansi wa China wemeweza kutengeneza jua la bandia kwa ajili ya kuuzalisha umeme.picha[emoji116]
- Jua la bandia [ Artificial Sun ] hiki Ni kinu cha kuzalisha umeme kinachofanya kazi kwa nguvu ya nuklia[nuclear fusion].
- Mfumo wa ufanyaji kazi wake ni katika mfumo wa nuclear fusion...
Binafsi nakerwa Sana nikiangalia wanawake hasa Azam TV kwenye kipindi Cha sinema zetu.
Wanawake wengi wameamua kuweka KOPE za bandia katika macho yao.
Nawakumbusha tu HAMPENDEZI NA NI ATHARI KWA MACHO YENU SIKU SIO NYINGI
Kwani Nani aliyewambia kwamba m apendeza?
Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto.
Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
Mnamo tarehe 26.03.2022 majira ya saa 13:30 mchana, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko kijiji cha Nsongwi Mantanji, Kata ya Ijombe, Tarafa ya Tembela, Wilaya na Mkoa wa Mbeya na kufanikiwa kumkamata FIDELIS KOMBA [42] Mganga wa tiba asilia, Mkazi wa Nsongwi – Mantanji akiwa na...
Dodoma. Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohamed Khamis Abdullah akizindua mradi huo katika Chuo Kikuu...
Nataka kuwa wakala wa nywele bandia za makampuni ya hapa Tanzania mfano daring hair, prima hair n.k.
Mwenye uzoefu wa biashara hii na pia utalatibu wa mchakato mzima pamoja na kianzio cha mtaji kila company anisaidie.
Nitashukuru sana.
Wanaonekana “wagonjwa” watatu wa uviko (Ramona Khoury, Fawaz Dandan na Osama Ahmad) wakieleza hali mbaya waliyopitia kwenye ugonjwa huu. Walidaiwa kuwa wako Concord Hodpital, kule Sidney, Australia.
Kwa “masikitiko” wanasema wanatamani wangejua mapema, wangepata sindano. Kisha wanasema...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Meno yangu ya chini yameoza yaani chini ya meno yanakama ukungu,sasa naona yananiletea show mbaya wakati wa kuongea na kucheka, nataka kuweza ya bandia, je ni hospital ama clinic gani nzuri na bei zao ziwe chini.
Naombeni msaada wenu.
Mamlaka za nchini Uganda zimesema zaidi ya watu 800 na wateja wa idadi siyojulikana kutoka kampuni kadhaa katika jiji la Kampala walipokea chanjo feki za ugonjwa wa Covid-19.
Ripoti hiyo imetolewa baada ya kufanya uchuguzi kwenye kundi la chanjo zilizopokelewa nchini humo.
Dr. Warren Naamara...
Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja,
Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.