barabara mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Video: Barabara mbovu kiasi DC kutembea kwa mguu kwenda kukagua miradi ya maendeleo

    Mkuu wa wilaya ya Geita Hashimu Komba akiwa ziarani katika Jimbo la Busanda Wilayani Geita Mkoani humo, amejikuta akishindwa kufikia miradi kwa wakati baada ya Msafara wake kukwama njiani kutokana na ubovu wa barabara hali iliyopelekea kutembea kwa mguu ili kwenda kukagua miradi hiyo iliyopo...
  2. Moshi: Wananchi wamechoka wajitolea kujenga barabara

    Wazawa wanaotoka katika vijiji vya Kondeni, Mawanjeni, na Mitala wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wameungana kwa pamoja na kuanzisha ujenzi wa barabara ya Samaria yenye urefu wa kilomita 1.5 inayounganisha vijiji hivyo. Wakizungumza na TBC, wakazi wa vijiji hivyo wamesema awali barabara hiyo...
  3. B

    KERO Tabata Chang’ombe barabara mbovu mno

    Barabara ya Tabata Chang’ombe ni barabara kongwe sana kiukweli inatia aibu sana zaidi ya miaka 30+ haina lami kabisa na wala mbunge wala viongozi hawaangaiki ikikaribia uchaguzi hapo wanafika wapimaji watu wa kuchora kuta za watu lakini baada ya hapo hakuna kitu, kabisa mvua ikinyesha inakuwa...
  4. Waziri Mwigulu Nchemba aeleza jinsi mgao wa umeme na barabara mbovu zilivyoipitisha serikali katika kipindi kigumu

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema bajeti ya Serikali ilikumbwa na changamoto mwaka jana na mwaka huu, hasa kutokana na uharibifu wa barabara chini ya Tarura na Tanroads pamoja na mgao wa umeme. Akizungumza bungeni Dodoma, Dk Mwigulu amesema Serikali ililazimika kuchagua kati...
  5. A

    KERO Mbunge Mavunde, tusaidie wakazi wa mtaa wa Chinyoyo, kata ya Kilimani - Dodoma! Tunateseka sana barabara mbovu sana

    Tafadhali ndugu Mavunde tusaidie sisi wakazi wa mtaa wa Chinyoyo kata ya kilimani tunateseka sana na ubovu wa barabara. Kata ya kilimani ina mitaa mitatu, Uzunguni, Chinyoyo na Image! Cha kushangaza mtaa wa uzunguni(kwa vibopa) kumwtandazwa lami tupu hadi taa za barabarani zimewekwa! Mtaa wa...
  6. KERO Arusha ni mkoa ambao una barabara mbovu sana

    Mkuu wa mkoa wa Arusha anaonekana kushughulika sana na masuala ambayo hayaleti tija kubwa kwa wananchi. Mkoa wa Arusha una changamoto kubwa ya maisha magumu kwa wakazi wake, hali inayozidi hata mkoa wa Lindi, ambao unaelezwa kuwa miongoni mwa mikoa yenye hali duni kiuchumi. Mgawanyiko wa...
  7. KERO Kunani matengenezo ya barabara Getifonga-Mabogini-Kahe? Adha ya vumbi, vifusi, barabara hazipitiki na vifaa mmeondoa saiti. Tunataka maelezo

    Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo. Mkandarasi huyo ni Lenana Holding Company Limited yenye makao makuu yake jijini Arusha. Kero...
  8. Serikali huu ndio muda wa kuzibua na kujenga mitaro pamoja na kukarabati barabara mbovu, msisubiri mvua zifike muanze visingizio na maigizo

    Wakuu salam, Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa. Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
  9. KERO TANROAD Lindi tunaomba mrekebishe mashimo makubwa yaliyopo kwenye barabara kuu

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikisafiri toka Mtwara kwenda Dar. Kuna baadhi ya maeneo Kwa kipande cha barabara ya mkoa wa Lindi kuna MASHIMO makubwa sana. Mashimo husika yanaweza kusababisha ajali ama uharibifu wa gari. Baadhi ya mashimo yapo maeneo ya hatari sana. Unakuta kuna mteremko na lami...
  10. P

    KERO Shukran DAWASA kurekebisha palipokuwa na shida hadi kutengeneza shimo, TARURA lini mtakuja kuweka lami/zege maeneo ya Mbezi Beach kwa Dr. Hiza?

    Wakuu, Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi soma hapa: Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa...
  11. P

    KERO Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Wakuu, Kipande hiki cha barabara ni maeneo ya Mbezi Beach Dar upande wa chini, ambako si mbali sana kutoka ilipo supermark ya Shopaz (kwa ambao si wenyeji wa maeneo haya), kipande hiko cha lami kinachoonekana hapo mwisho kwenye video ndio kinashuka na kupita ilipo supermarket ya Shopaz. Sehemu...
  12. Inakuwaje Dar es Salaam inaoongoza kuingiza mapato ya Nchi unakuwa na barabara mbovu hivi?

    Kati ya Mambo ambayo yatakuja kukiondoa Chama cha Mapinduzi madarakani ni namna ambavyo hawagawi kwa usawa keki ya taifa. Siku Watanzania wakipata akili na kusema kwa nini hapa kwetu tunachangia hiki na hatupati hiki ndio utakuwa mwisho rasmi wa siasa za kutawala Tanzania kwa Chama cha...
  13. Tutaje wilaya zenye barabara mbovu za vijijini

    Kuna council hawajui tu kutengeneza barabara wao hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya za tanroad unakuta wanasubiri MWENGE upite ndo iburuzwe. kwangu mimi aisee nikiwa kama mkazi wa kusini halmshauri ya nachingwea na tunduru wanazingua sana Tena wilaya kongwe na zenye kila kitu mazao...
  14. A

    KERO Barabara za Bugarika-Mahina-Nyakato jijini Mwanza ni changamoto

    Wahusika wa Barabara za Bugarika kwenda Mahina hadi Nyakato Temeke ni changamoto kubwa kwa wapita njia. Imefikia wakati vyombo vya moto vinasubiriana upande kwa upande jambo ambalo linapoteza muda na mafuta katika foleni.
  15. M

    KERO Barabara Mkuranga siyo nzuri, kuchonga tu pekee haitoshi

    Jimboni kwa Mbunge Ulega hali ya barabara sio nzuri, wasaidie wakazi badala ya kutumia nguvu na pesa nyingi kuchonga.
  16. A

    KERO Mkandarasi wa barabara ya Majichumvi-Migombani anatutesa kwa zaidi ya Mwezi sasa

    Barabara ya External kwenda Majichumvi eneo la Migombani (Majichumvi) inayopita OBAMA BAR kuanzia Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mianzini kutokezea njia Panda ya Bonyokwa na Segerea inatutesa sana. Mkandarasi alifunga njia kipindi chote cha mvua, tumeteseka vya kutosha maana diversion aliyotuelekeza...
  17. Changamoto ya barabara mbovu Goba Kulangwa/Tegeta a Serikali inapuuza?

    Habari wadau. Narudi tena kusisitiza shida za Barabara za Goba kulangwa! Leo tumenusurika tena kupoteza watoto kumi. Sijui tupige vipi kelele hizi barabara zitengenezwe kwa ubora. Sio kutupitishia magreda! Maana Mvua zikija zinasomba tena! Nasisitiza tena. 1. Kuna ile njia Goba kulangwa...
  18. KERO Halmashauri ya Mji Kibaha amkeni, tatueni kero za barabara mbovu

    Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa Halmashauri ya Mji Kibaha kushindwa kuweka vipaumbele vya ujenzi wa barabara za pembezoni na hasa katika...
  19. Hiii ni Kariakoo Gerezani ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni aibu kwa kweli

    Nimerekodi video hii jana asubuhi Machi 20, 2024 nilipokuwa napita mitaa ya Kariakoo, hapa ni jirani na kilipo Kituo cha Mwendokasi pale Gerezani, kama unavyoona mwenyewe hali ya barabara si nzuri. Magari na watu wote kwa pamoja wanapata changamoto ya kupita, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa...
  20. KERO Jerry Slaa, jimbo lako linakuhitaji barabara mbovu mno

    Jerry Slaa hebu weka muda kidogo kutoka kukataa hongo ya mil. 300 uje uangalie njia za Ukonga hasa ya Kitunda kuelekea Mwanagati. Hali ni mbaya mno huku. Hatujakuona toka ulipokuja kupiga kampeni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…