Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...