Sijui kama napaswa kuiandika hii. Watu wengine wataona labda siyo muhimu.
Lakini hii imetokea juzi. Huyu mwanamke alikuwa anatembea katika bonde la Msimbazi,pale kutoka Msimbazi Center kuelekea njia panda ya Kigogo,akaanguka akafa,mwenyewe tu, without any prodding.
Basi watu wakakasirika...