barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Askari wa barabarani wakati mwingine wanatuokoa na foleni

    Askari wa barabarani tusiwabeze sana pamoja na mapungufu madogo madogo ambayo wetu wengi tunayo huku maofisini. Askari wanatuokoa sana foleni za Dar. Hebu imagine askari waondoke barabarani si balaa hasa hasa Dar Mwanza na Arusha. Madereva wengi nao kichomiiiii
  2. Kijakazi

    Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

    Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari. Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je...
  3. Escrowseal1

    Ushauri wangu kwa serikali ili kutoa mchango wa kupunguza ajali za magari

    Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi. Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
  4. R

    Mzee Kinana, trafiki wengi wako barabarani kwa vile kuna pesa zisizo na jasho. Nini kifanyike?

    Logic ya trafiki wengi barabarani iko hivi: (something like a syllogism) 1. Kuwa barabarani ni pesa 2. Kitengo cha Trafiki ni wengi sana (kila mmoja mwenye upenyo amampeleka mwanae/nduguye utrafiki 3. Automatically ili kila mmoja lazima apate pesa, 4. Lazima kuwe na vituo vingi vya kusimamisha...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona uwezekano wa kupunguza idadi ya Askari wa usalama barabarani ambao wanalalamikiwa na Wananchi...
  6. JanguKamaJangu

    70% ya wagonjwa wa ajali za barabarani waliopo MOI (Muhimbili) chanzo ni bodaboda

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...
  7. All truth23

    Kero za Mwenge Barabarani

    Leo Hapa Shinyanga maeneo ya Maganzo tumesimamishwa kwa zaidi ya Masaa 2 kisa tunasubiri Mwenge upite tu Ila ki ukweli ni kero maana ebu ona mtu anaenda Mbeya afu unamsimamisha njiani ZAIDI ya Masaa 2 hii kero sana Wahusika wazingatie hili kwa kweli. Sent from my SM-A032F using JamiiForums...
  8. C

    SoC02 Athari za Matumizi ya Simu barabarani na Sheria

    Athari za Matumizi ya Simu Barabarani na Sheria Utangulizi Kulingana na tafiti za Shirika la Afya Duniani(WHO) za mwaka 2022; ajali za barabarani zinaongoza duniani kwa kusababisha vifo, ambapo takribani watu milioni1.3 hufariki kila mwaka kutokana na ajali za barabarani. Huku madhara makubwa...
  9. Tonytz

    SoC02 Ajali za magari barabarani nchini Tanzania na athari zake katika maendeleo

    UTANGULIZI Nchini kwetu Tanzania kwa sasa kumekuwa na mwendelezo wa ajali mbalimbali ikiwemo za magari barabarani, mashuleni kuwepo na ajali za moto ambao vyanzo vyake havifahamiki kwa haraka. Ajali hizi zinaweza kusababishwa na hali ya kimazingira, kiufundi au kibinadamu. Hapa ina maana kuwa...
  10. Buyaka

    Mihogo mibichi inayouzwa barabarani Mwenge hadi Africana ina sumu!

    CYANIDE iliyotumika na Adolf Hitler kuuwa Wayahudi ipo kwenye MIHOGO MIBICHI! Na mpaka leo bado inatumika kwenye hukumu za vinyongo kwenye nchi kama Marekani jimbo la Arizona. Sisi tukitaka kuua mtu tunampiga na mawe, petroli, viberiti... taharuki. Lakini njia moja ya kuua mtu bila kuzua...
  11. chiembe

    Baada ya tukio la Japan, Vyombo vya dola vifanye mapitio ya kiusalama mikutano ya barabarani

    Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai. Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani. Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii...
  12. Lycaon pictus

    Nasikia kwenye kupambana na foleni Round about ni nzuri kuliko mataa ya barabarani ni kweli?

    Nimesikia ikisemwa kuwa round about ni nzuri kupambana na foleni sababu magari yanakuwa kwenye mwendo muda wote. wataalamu, Hili lina ukweli wowote?
  13. Mlolongo

    Sticker ya "Nenda kwa usalama barabarani" naipata wapi?

    Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee muda aandikiwe faini!" Nikawabishia hasa kuwa "I'm damn sure" nimesimama kwenye taa. Always huwa...
  14. mpasta

    Mbinu ya kivita ninayoitumia kujizuia kutongoza wasichana barabarani

    Wanajamvi wenzangu mie hapa Jijini DSM nilihamishiwa kikazi nikitokea mkoani. Siku za mwanzoni nilikuwa napata shida barabarani. Kila msichana ninayekutana nae namuona mrembo, haswa nikifika maeneo ya Posta Mpya kule. Basi Asubuhi kabla sijatoka Home nikawa ninatumia dakika takribani 5 za...
  15. J

    SIMIYU: Waliouza kaburi la Bi Hapi Lupigila kwa TZS 30M wakubali TZS 500K

    HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea === WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
  16. ommytk

    Tushirikiane kubandua matangazo ya waganga barabarani

    Kwa wadau wote ebu tuanzishe kampeni ukiona tangazo tangazo la mganga bandua na ulitupe hii itatupeleka kupunguza shiriki kwa binadamu na hawa waganga matapeli wanawaibia watu au kuwatuma watu vitu hatarishi katika maisha mfano ulale na mama yako mzazi sijui au umuingilie mtoto mdogo asiye...
  17. aka2030

    Magari kupaki barabarani ni kero kubwa, Serikali wanaojenga majengo michoro iambatane na parking

    Hasa Dar imekuwa kero sana hivi halmashauri inakuwaje mnatoa ujenzi wa majumba katikati ya Mji mahoteli na ya biashara bila majengo hayo kuonesha wapi magari yatakuwa yanapaki? Watu wakipaki magari yao barabarani inakuwa finyu watu tunashindwa kupita kwa amani na magari yetu ya kifahari
  18. MrKanteChelsea

    Tamu na chungu ya wauza maziwa barabarani

    Wanachelewa kulala lakini wanawahi kuamka, ni kina mama wauza maziwa katika Kituo cha Nyichoka Kata ya Kyambahi Wilaya ya Serengeti ili kuwahi wateja kwenye mabasi yanayopita saa 12 kuelekea Musoma,Bunda na Mwanza. Kwa kuwa wengi wao hukamua wenyewe ,huwalazimu kuanza saa 10 alfajiri muda...
  19. chiembe

    Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

    Sasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika, na watafute kazi nyingine. Wale waliokuwa wanatishia kuingia barabarani, haitawezekana tena. Mbowe...
  20. happyxxx

    Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

    Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu. Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake. Je, nini kimembadilisha? Ni muda ndio utasema.
Back
Top Bottom