Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
Katika tambia yangu mkoa dsm kigambo nahisi ni mahali ambapo panaongoza kwa askari barabarani.yaani sijui kwanini maana mikoani tunahitaji pia maana mimi nipo musoma sijawahi kuona trafiki labda kuwe na jambo kigamboni nimekutana na camera 3 na sehemu zaidi ya 5 tumesikamishwa ebu mje mkoani pia...
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata suluhu ya kukomesha ajali barabarani.
Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi...
Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari.
Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
Kila sekunde 24 mtu mmoja anakufa kwenye ajali ya barabarani! Ndivyo ulivyoanza ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika maadhimisho ya leo ya siku ya kukumbuka waliopoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani.
Katibu Mkuu anasema katika kuadhimisha...
Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan.
Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita...
Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi"
Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake.
Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu.
Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya...
Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
Wakuu nimekuwa najiuliza tuna shida gani sisi watumia barabara hasa kwenye mataa (Trafic lights).
Mara nyingi nimeona taa zinaruhusu magari na wakati yanaanza kuondoka wanatokea watembea kwa miguu wanakatiza barabara ambayo ni hatari kwao.
Pia nimeona baadhi ya wenye magari kusimamisha magari...
Wadau nawasabahi,
Tunaziomba mamlaka zote zinazohusika na zoezi la kuwaondoa machinga kuwa zoezi hili liwe la kudumu kwani mazoezi kama haya huwa ya nguvu ya soda kutokana na kufanyika kisiasa zaidi unaweza kukuta 2030 wanaruhusiwa kufanya biashara zao hata ndani ya viwanja vya ndege.
Muhimu...
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.
Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.
SAD AND PAIN BUT TRUTH!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B.
Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na bodaboda na bahaji xote wanagomnea kupita.
Matokeo yake asubuhi na jioni hapapitiki, foleni hadi...
Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi...
Nimekuwa napita kwenye taa za barabarani maarufu ka traffic light Naona zimekuwa ni kero saana kwani zina fanya barabara kuu highway itumike muda mfupi sana.
Na maanisha kwa barabara zimekutana kama cross (jumlisha) barabara hufungwa karibia masaa sita kwa siku ( kila moja)
Hii ni upotevu...
Habari wakuu,
kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari ni nani aliyepagawa
Kwa wale mnaofahamiana na madereva wa 'ist' tunaomba mtueleze ni watu wa aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.