Jana mchana wakati nimetoka kanisani Pugu Kajiungeni (Njia panda ya Chanika na Kisarawe ) niliamua nikapate viepe na kuku kwa muuza chips aliyeko kando ya barabara.
Nimefika pale nilishangaa yule kijana muuza chips anawezaje kukaa pale angalau kwa nusu saa. Yaani kijana yule pale ndipo maskani...
Niko barabarani kwa mguu natoka mahali kwenda mjini kuna basi ya abiria imepita kwa speed sio nzuri sana eneo ambalo halitakiwi.
Sijajua hivi vibao vinavyoonyesha speed ya gari ya kutembea eneo husika vina maana gani kwa sisi madereva wa kiafrika.Sijajua alama za pundamilia za kuvuka watembea...
Serikali inakusudia kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Marekebisho yaliyowasilishwa Bungeni kupitia Mswaada
wa Marekebisho ya Sheria ya makosa ya Barabarani ni pamoja na:-
1. Marekebisho katika Kifungu cha 21, kwa kuweka sharti la lazima kwa mtu yeyote...
Kutumia nguvu kuwaondoa barabarani au kuwapanga wamachinga maeneo maalum kwa njia zozote za amani ni sawa na kutumia paracetamol au aspirin kutibu Malaria au UTI. Utatuliza maumivu kwa muda tu ila Ugonjwa utakuwa pale pale.
Umachinga uliokithiri na kuwa tegemeo la vijana ni matokeo ya uchumi...
Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao.
Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri.
Kwa Dar es Salaam naona...
Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo!
Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika!
Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika)
Hii inamaanisha kwamba...
Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani zisigongane Angani .Wanawake wanaweza
Huyu akija Tanzania Traffic waongoza magari Wanaume lazima wakimbie...
tabia ya hawa trafiki kufanya mambo ya ajabu ajabu barabarani yanadhalilisha jeshi la polisi. Hii inaendana kinyume na miiko ya kazi kabisa. Wengine mtapinga ila hii tabia imekuwa too much sasa kwa trafiki. Itapelekea hadi nidhamu kushuka.
Kwenye hii video nimeshangazwa sana na kusikitika.
Kuna vitu unaviona hata kama sio mhandisi lakini unashangaa, huyu ama hawa wahandisi wamesomea wapi?
Ukiangalia barabara zote za Dar kiuhalisia hakuna foleni kiviile ila shida kubwa inayochangia kuwepo na foleni ni vituo vya daladala kua barabarani ama karibu sana na taa za Barabarani.
Mfano...
Suala la foleni katika miji limezidi kuwa changangamoto.
Nini kinaisaidia kutokomeza watu kukaa Barabarani muda mrefu Kati ya roundabouts na trafic lights?
Kwa upande wangu, roundabout nazipa asilimia 100 katika upunguzaji wa foleni
Naandika kwa tahadhari tu.
Toka mwaka 2016 kasi ya watu kujenga vibanda, mabanda na kujazana kandokando ya barabara kufanya biashara na shughuli mbalimbali imekua ikiongezeka kila kukicha na kwa kasi kubwa sana.Vijana wanaitana tu toka vijijini kuja mjini kuanzisha misheni town kwa kuuza...
Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa.
Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi.
Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
Wanabodi.
CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka.
Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo.
Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe...
Niseme tu kwamba hawa bodaboda na Bajaji nimewaona wakiwa na furaha kedekede bila ya kujua kuwa pamoja na kupunguza faini lazima watii sheria za barabarani na kuhakikisha vyombo vyao vya moto viko sawa na havina itilafu ambayo huenda vikasababisha trafiki wakawakamata.
Sikatai wafurahie ila...
Mwanzo mwanzoni nikiri kuwa nimefuatilia na bado naendelea kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kuna jambo, lakini, nimeliona kwa haraka. Ni kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa adhabu kwa makosa ya barabarani kwa waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda na bajaji...
Kati ya mambo ya maana katika budget hii ni kupunguzwa kwa faini za barabarani.
Hii Tsh. 10,000 ndio tulikuwa tunawahonga askari wa barabarani, sasa naandaa Tsh. 2,000 wakigoma kupokea nawaambia tena kwa kiburi kikubwa kinachoambata na madoido nipatieni hicho kirisiti nitalipa mbele ya safari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.