Kuna huyu trafiki anaeongoza magari kwa mbwembwe(huku anachezacheza) anaonekana kuvutia na kufurahisha watu wengi.
Sijui ndio kuipenda kazi yake au laa, ila anachofanya ni kuwafanya watu wengine wanaomuona kupenda kazi zao hata kama wanazifanya katika mazingira magumu kwani anaonesha kuipenda...
Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara
Chanzo: ITV habari
Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu.
Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
Mabibi na mabwana niko safarini kuelekea pande za Burigi katika kutia shime juhudi za kizalendo zenye mashiko zilizoasisiwa na hayati mzee baba katika kulisukuma gurudumu la utalii wa ndani, mbele.
Niliyoyashudia njiani hasa kuwahusu wale waliozowea kubrashi viatu kwa kutumia pesa za wengine...
Ni furaha kuona kamanda wa taasisi nyeti ya kupambana na rushwa anakuja kutoka polisi akiwa anajua mifumo yote ya utoaji haki ndani ya jeshi la polisi kujawa na rushwa kuanzia barabarani, jinsi trafiki na polisi wanavyochukua rushwa mpka vituoni hakika tuna imani kubwa na kamanda aende kuweka...
Hii picha inasambaa kwenye magroup ya madereva. Kuna dereva mmoja kakutana na hii kitu akiwa safarini.
Mimi kuna siku natoka Tunduma kuja Mbeya nipo kwenye costa siti ya mbele SAA sita mchana jua Kali ghafla kwenye pori kaibuka mtoto miaka 5-7 kakatisha barabara dereva akamkwepa tukayumba sana...
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam.
--- UPDATE MAY 11, 2021--
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri amewataka wafanyabiashara waliojenga vibanda katikati...
Husika na kichwa cha habari.
Well nina eneo liko mbele ya barabara ya lami maeneo ya Kijitonyama nataka kufanya pawe kijiwe cha kuuza magari used....about (300 sqm au 350 sqm).
Mwenye gari anaetaka uza anakuja ku park gari inakua sokoni tukiuza napata %, walengaji na walengwaji kama kawa...
Jana nilikuwa safarini mkoa wa Iringa. Njiani, ukipita Igingilanyi kwa mbele kuna askari polisi wawili walikuwa wanavizia magari yanayokwenda spidi wakiwa wameficha gari yao aina ya spacio.
Nilichoona ni kwamba mabasi yanapita kasi huku wakidondosha pesa. Hii ni aibu. Kuna haja ya kubadilika...
Wana bodi, naomba niwapashe habari ya tukio la hatari sana nililokutana nalo siku chache zilizopita. Kweli Waswahili hawakukosea waliposema: "duniani kuna mambo... tembea uone."
Siku hiyo ya tukio, mimi na marafiki zangu wawili tulikuwa tunafanya kazi fulani nyumbani kwangu kuanzia jioni. Kazi...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kumekuwa na tabia ya kuweka matuta kwenye barabara za vumbi za mitaa au vijijini kwa nia ya kupunguza ajali katika mitaa husika hasa ajali za watoto zinazohusisha pikipiki.
Kufanya juhudi za kupambana na ajali ni jambo jema isipokuwa...
Habari wadau!
Kuna wimbi la madereva wa magari aina ya Land Cruiser kutanua barabarani huku wakiwasha vitaa vya vimwelu mwelu kuashiria wapishwe. Je, huu ni utemi? Na je, kina nani kwa miaka ya sasa wanaoruhusiwa kupishwa bila kuwekwa pembeni na trafiki polisi?
Au ndio " unanijua mimi nani"...
Ndani ya siku 18 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara HAPANA, siyo kwamba ameajiri HAPANA, siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani HAPANA
bali ni MATAMSHI yake tu kama Kiongozi Mkuu wa nchi yanaendelea kuliponya taifa bila sindano wala vidonge...
Ukimpa mtu ufunguo wa gari, mtu asiyejua kuendesha gari na kisha umwambie aendeshe gari unadhani nini kitatokea? Ni dhahiri kwamba itatokea ajali, tena ajali mbaya, itakayomdhuru yeye mwenyewe na walio karibu na yeye na chombo chenyewe.
Mtu ambaye hajui kuendesha gari na anataka kuendesha gari...
Polisi wamekuwa wakiendesha magari yao vibaya sana bila kufuata sheria na taratibu za barabarani.
Watu wengi wamegongwa na kufa, na wengine kujeruhika kutokana na uendeshaji wao mbovu.
Pia uendeshaji mbovu huaribu vyombo ambavyo vimenunuliwa kwa Kodi za wananchi.
Na mbaya zaidi magari yao...
Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.
Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu...
Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania
WAKAZI WA DAR...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao.
Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...
Nyerere, pamoja na matatizo yake yote alikomboa maskini kwa njia ya redistribution of resources. (ingawa angefanya kwa njia nyingine) Hakuwa na watendaji wazuri na viongozi wenzake wakati ule hawakumulewa (ni ngumu sana kumuelewa idealist na mtu mwenye vision ya miaka zaidi ya 100 ijayo)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.