barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dear_me_

    UPDATE ZA BARABARANI DAR-MOSHI

    Habari wana JF Naomba kujua maeneo walipo traffic wa barabarani -Torch -Checkpoint. Barabara ya Moshi-Dar Asanteni
  2. Mad Max

    Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  3. The25824

    Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  4. comte

    CHADEMA wakienda barabarani siyo septemba 23, 2024 tulio wao sisi twende kwenye miji yao

    CHADEMA wameshindwa siasa badala yake wameanza kuchafua vyombo vya dola na watu. Kwa wapenda amani na nchi yetu CHADEMA wakienda barabarani hiyo septemba 23, sisi tuingie kwenye nyumba zao
  5. Teslarati

    Ili kukabiliana na ongezeko la ajali barabarani nashauri serikali iwe inafungia kampuni zinazomiliki magari yanayosababisha ajali kwa miezi 6 tu.

    Juzi kulitokea ajali ya bus mbeya, watanzania wenzetu wakafariki na wengine kuumizwa vibaya. Jana napo imetokea ajali ya bus mbeya na kuua watanzania kadhaa. Leo napo morogoro kuna ajali ya bus na lori imetokea na kuua tena watanzania. Serikali kama imeshindwa kuweka utaratibu wa kuwadhibiti...
  6. milele amina

    Serikali itumie Teknolojia mpya zinazoweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani nchi Tanzania,kuepuka matrafiki

    Serikali itumie teknolojia mpya ambazo zinaweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani: 1. Kamera za Ufuatiliaji: Kamera za kisasa zinaweza kuwekwa kwenye barabara na magari ili kurekodi matukio na kusaidia katika kutambua wahusika wa ajali. 2. Sistimu za Kusaidia Kuendesha (ADAS): Teknolojia...
  7. D

    Sponsa wa Mradi wa Elimu ya Usalama Barabarani

    Habari wana jukwaa, Nimeandaa miradi miwili ya usalama barabarani. Mmoja unahusu bodaboda na mwingine unahusu watoto walio shuleni [shule za msingi]. Inaohusu zaidi elimu ya usalama barabarani na pia ya afya na ujasiriamali kwa bodabodaz. Natafuta mtu, taasisi au kampuni inayoweza kutusaidia...
  8. Jidu La Mabambasi

    Wiki ya Usalama Barabarani: Polisi na Serikali mmeshindwa vibaya kudhibiti bajajI na bodaboda?

    Polisi wanatamba kuwa kutotii sheria utakamatwa na utachukuliwa hatua za kisheria. Kuna kundi kubwa la watumiaji wa barabara wanamiliki bajaj na bodaboda nchini, kundi hili liko juu ya sheria. HAKUNA wanaolidhibiti kundi hili, si polisi au chombo chochote cha dola. Na kundi hili kwa kiasi...
  9. byakunu

    Hali ya madungu jeshi barabarani kwa sasa ikoje? Quick review kidogo

    Wadau nimekaa kwenye foleni barabarani nikitafakari ni vipi ile kasi ya ununuaji wa madungu jeshi (DISCOVERY3,4) ilivyokuwa mwaka jana kipindi kama hiki na mwaka huu ikoje? Mimi naona haya madungu watu wengi yamewashinda hayana tena attraction ile kama ya mwaka jana na kabla yake. Ishu...
  10. T

    Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

    Habari JF Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .? Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  11. BARD AI

    Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  12. Mystery

    Rais Samia, siyo kupanda kwa bei ya vyakula pekee, ambako kutawafanya Gen Z ya Tanzania waingie barabarani

    Nimemsikia Rais Samia Jana, wakati akihutubia wakazi wa Mtibwa -Morogoro, akiwa katika ziara Mkoani humo, akiwatahadharisha wateule wake, hususani walioko Kwenye wizara ya kilimo kuwa chakula ni jambo nyeti sana, ukitokea upungufu wa chakula nchini, unaweza walazomisha vijana wanaotambulika...
  13. Teremaro

    Fine za barabarani

    Habari ndugu wana jamii forum, naombeni ushauri wenu hawa askari wa barabarani wamekuwa wakiandika fine bila mpangilio, nadaiwa 150000 kwa sasa nawaza nisilipe maana hata hvo hiyo hela kwa sasa sina, naombeni ambaye ameshakutana na hili swala kama langu anipe mbinu nataka niskip
  14. NALIA NGWENA

    Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  15. Yoda

    Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  16. Riskytaker

    funga maduka ingia barabarani na màbaango yenye kufikisha ujumbe

    watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito.
  17. E

    SoC04 Mambo yakuzingatia ili kuzuia ajali za barabarani nchini

    Ajali ni tukio la dharura linayotokea au kupata mtu bila kutalajia na ambalo linaweza kusababisha majeruhi na wakati mwingine watu kupoteza maisha(vifo).Ajali ya barabarani ni tukio la dharura ambalo linampata mtu bila yeye mwenyewe kutalajia barabarani na wakati mwingine kusababisha majeruhi...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Wanao Jiuza Dar sio Wale Wanao Panga Msitari Barabarani Kujiuza

    Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za...
  19. H

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Sera Ya Matumizi Ya DashCam

    UTANGULIZI: Kumekuwa na mtafaruku haswa inapotokea Ajali iwe barabarani au mtaani kutokana uzembe wa dereva na kusababisha madhara fulani, lakini kukawana uzito katika kutoa Adhabu kutokana na kutokuwa na ushahidi kamilifu kitendo kinachopelekea upendeleo kwa mtu aliehusika na uzembee huo SERA...
  20. C

    SoC04 Hisia za maumivu ya ajali za barabarani zinavyomezwa na maneno ''Tuko kwenye mchakato"

    Tanzania imekuwa ikikumbwa na changamoto ya ajali za barabarani ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa vifo, ulemavu na uharibifu wa Mali na vyombo vya usafiri. Katika taarifa zinazotolewa nyingi zimekuwa zikizungumzia idadi ya vifo na majeruhi, lakini wengi wa majeruhi wanakua wamepoteza viungo...
Back
Top Bottom