Jioni ya leo nimeshuhudia maelfu ya waumini wa kanisa la Mwingira hapa Mwenge wakitoka kwenye misa bila ya hata mmoja kuvaa barakoa, yaani ni kama hawajui kama kuna UVIKO 19 , pia hata kwenye vyombo vya usafiri bado msongamno ni kama zamani kabla ya kutolwa amri na abiria sehemu kubwa hawavai...