Habari,
Mimi ni mfamasia, na moja ya mambo yanayonikera na kunifanya nitafakari ni namna Baraza la Famasi linavyoweka gharama nyingi ambazo kwa mtazamo wangu ni mzigo mkubwa kwa wataalamu wa famasi.
Mtu husoma famasi kwa miaka 3 hadi 4 kwa gharama kubwa, huku baadhi wakitegemea mikopo ya elimu...
Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara tarehe 08 Mei, 2025 wametembelewa na Baraza la Famasi pamoja na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya.
Ufahamu kuhusu Baraza la Famasi na elimu juu ya matumizi sahihi ya dawa ulitolewa kwa wananchi wa maeneo ya Hospitali ya Mji Babati...
Habari wana JamiiForums, Baraza la Famasi limeanzisha ukurasa huu kwa lengo la kutoa taarifa mbalimbali, kuelimisha umma pamoja na kupokea maoni, mirejesho au malalamiko yanayohusu huduma zetu.
Utangulizi:
Baraza la Famasi ni taasisi ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Afya iliyoundwa kwa...
Hivi karibuni Baraza la Famasi Tanzania limetoa matokeo ya mtihani wa leseni kwa utaratibu tofauti na ule wa zamani wa kuyaweka wazi kama yanavyowekwa matokeo ya sekondari.
Safari hii wameamua kuyatuma kwenye akaunti za watahiniwa wenyewe wakiwa na lengo la kuvificha vyombo vya habari visiyaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.