Habari,
Mimi ni mfamasia, na moja ya mambo yanayonikera na kunifanya nitafakari ni namna Baraza la Famasi linavyoweka gharama nyingi ambazo kwa mtazamo wangu ni mzigo mkubwa kwa wataalamu wa famasi.
Mtu husoma famasi kwa miaka 3 hadi 4 kwa gharama kubwa, huku baadhi wakitegemea mikopo ya elimu...