baraza la maaskofu katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maaskofu Wakatoliki Zambia: Hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo

    Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) limeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 13, 2026, likisema hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo. Katika taarifa yao ya kichungaji yenye kichwa “Peace sown by...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Majibu Yangu Kwa Baraza La Maaskofu Katoliki TEC Na Padre Charles Kitima Juu Ya Hoja Ya Kuombana Msamaha kwa kile kilichotokea Uchaguzi Uliopita

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni Hoja Ambayo ningependa niijibu na kuitolea majibu na ufafanuzi ili Kujenga Uelewa wa Pamoja Kama Taifa na watanzania wote kwa Ujumla wake. Serikali yetu Chini ya Uongozi Shupavu, Madhubuti na Imara wa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Iliumizwa Na Imeumizwa sana...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Mauaji ya Oktoba 29 yachunguzwe na Taasisi huru zisizoegemea upande wowote, ikiwemo za Kimataifa

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetaka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya Oktoba 29 kupitia Taasisi huru, uchunguzi ambao utashirikisha wadau wa ndani na nje ya nchi na kuongozwa na vyombo visivyoegemea upande wowote ikiwemo taasisi za dini na taasisi huru za kimataifa ili ukweli...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Tunasikitishwa na kulaani mauaji ya kikatili na kinyama ya watanzania, ni uovu mkubwa na chukizo kwa Mungu

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lililoketi kwa siku 4 kutafakari kilichotokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 limeonesha kusikitishwa na kulaani mauaji ya kinyama ya watanzania, na kubainisha kuwa ni uovu mkubwa na chukizo kwa Mungu. Maaskofu hao wamebainisha kuwa hili ni jambo...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya (KCCB) wataka sheria ya uhalifu mtandaoni ipitiwe upya

    Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Kenya (KCCB) limeitaka serikali kufanya mapitio ya haraka ya marekebisho mapya ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni pamoja na Sheria ya Ardhi, likitahadharisha kwamba sheria hizo zimepitishwa kwa haraka bila mashauriano ya kutosha na...
  7. JamiiForums Tanzania Sala Maalumu ya kuombea Haki na Amani ya nchini Tanzania kama ilivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025. Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  9. JamiiForums Tanzania WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya wapendanao, Valentine. tusherehekee kwa Toba eeeh tafadhalini!]. Kipindi hicho hujulikana pia kama...
  10. JamiiForums Tanzania TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…