Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
View: https://x.com/ChademaTZ2/status/1957325768268173682?t=BkuBGyul0zNmBhGhfuwHwA&s=19
Hao jamaa akili huwa hawana,hawakawii kudhihirisha yaliyomo nyoyoniAhaa. Wanasali wakristo wakatoliki. Waislam wakae mbali hapo, haiwahusu
Upepo umepiga na nyeti njeHata bawata wakitoa ya kuombea taifa hakuna ubaya chadema watapita nayo
Kitabu cha majini hakina msaada enyi wavaa makobaziWameamua kujianika, sisi kobazi tunawatakia kila la kheri
Wote sala ya taifa sio ya kidiniAhaa. Wanasali wakristo wakatoliki. Waislam wakae mbali hapo, haiwahusu
Hii ni noma hii hivi Askofu ametoa kibari wafanye hivyo au wamefosi tu wenyewe maana hapo wanamtafutia ugomvi Askofu na yule Mama, sasa itakuaje mboni haikusomwa kwenye ile Harambee ya kukusanya Billion 100 za watu Masikini?Ahaa. Wanasali wakristo wakatoliki. Waislam wakae mbali hapo, haiwahusu
Kobazi hawanaga akili ni maanithi wa akili ...utawasikia wanadanganya watu kuwa wao waliwai kupigania uhuru wa Tanganyika 😁😁😁Wameamua kujianika, sisi kobazi tunawatakia kila la kheri
Halafu kuna yule mchekeshaji nilisikia anamtania Kiongozi kwa kumuita ManuuKwahiyo Chama kimekua cha kikatoliki?
Mohamed Said unamsikia kijana wako huko Mzee wetu anakubagazaKobazi hawanaga akili ni maanithi wa akili ...utawasikia wanadanganya watu kuwa wao waliwai kupigania uhuru wa Tanganyika 😁😁😁
Walikimbia hoja yangu moja tu kuhusu wao kupigania uhuru ....kama uamini muite na huyo uliye mtaja ..namsubiri wenzake walikimbia hoja..Mohamed Said unamsikia kijana wako huko Mzee wetu anakubagaza
Sawa,ila tumewasomaKitabu cha majini hakina msaada enyi wavaa makobazi
Kwamba mtu kutoka mara akaenda kariakoo kuanzisha chama!Kobazi hawanaga akili ni maanithi wa akili ...utawasikia wanadanganya watu kuwa wao waliwai kupigania uhuru wa Tanganyika 😁😁😁