Huna MB?..nyerere mwenyewe anasema walianzisha chama makerere,akamtaka mzee mmoja dar akisambaze chama,mzee akamwambia unaanzisha chama wakati tuna chama TAA kina matawi mengi,jiungeni na hikiSija sikiliza ushahidi kuwa waislamu walikuwa wanakunywa kahawa tu no kumkubali mkristo kupambana mbelw yao ...wewd unadhani kungekuwa na waislamu haswa wenye kupigania uhudu nyerere angepewa nafasi aliyo pewa ..tumia akili
Wewe unaleta hoja zisizo na msingi nani kakataa kuwa nyerere alikuta vyama ?...nimekuambia vilikuwa vyama kama povu la bahari tu kaziyao ni kunywa kahawa na kumtumikia muarabu na mabeberuHuna MB?..nyerere mwenyewe anasema walianzisha chama makerere,akamtaka mzee mmoja dar akisambaze chama,mzee akamwambia unaanzisha chama wakati tuna chama TAA kina matawi mengi,jiungeni na hiki
Waje sasa kanisani tuwabatize, wasiishie tu kuitumia sala ku justify mambo yao ya kisiasa.Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
View attachment 3444927
Chama cha kunywa kahawa kiwe na matawi tanga,tabora,kigoma,lindi, mtwara,mwanza?..kama kilikua cha kunywa kahawa kwa nini nyerere alipotaka wajiunge na chama chake cha siasa,akaambiwa kuna chama tayari,ajiunge yeye?..hata uwezo wa kufikiri huna!!Wewe unaleta hoja zisizo na msingi nani kakataa kuwa nyerere alikuta vyama ?...nimekuambia vilikuwa vyama kama povu la bahari tu kaziyao ni kunywa kahawa na kumtumikia muarabu na mabeberu
Kimoyomoyo umeumia Sana kuona Wakatoriki wakisimama na lisuUpepo umepiga na nyeti nje
Hapo ni wakatoliki wameisimama na lissu au ni kudhihirisha chadema ni chama cha wakristoKimoyomoyo umeumia Sana kuona Wakatoriki wakisimama na lisu
Ok .Ila bado umeumia kuona umoja WA wakristo Kwa Lisu dhidi ya SSH WA Bakwata.Hapo ni wakatoliki wameisimama na lissu au ni kudhihirisha chadema ni chama cha wakristo
Hayo yalikuwa matawi ya misikiti ...nimekuuliza harakati zao zilikuwa vipi na zipi ...tuambie walikuwa wanadai uhuru namna gani ?kumbuka mtu aitwi shujaa kwa kubeba upanga tu au siraha tu bali uitwa shujaa kwa matukio aliyo yakabiri na kuyashinda ...wewe naona unanipotezea muda wangu bure huna IQ ndogoChama cha kunywa kahawa kiwe na matawi tanga,tabora,kigoma,lindi, mtwara,mwanza?..kama kilikua cha kunywa kahawa kwa nini nyerere alipotaka wajiunge na chama chake cha siasa,akaambiwa kuna chama tayari,ajiunge yeye?..hata uwezo wa kufikiri huna!!
Hizi ndiyo hoja ulizokua ukitamba watu walikukimbia!?.. punguani kweli!!
Msikilize nyerere kawaongelea, tatizo bando la jero na akili hunaHayo yalikuwa matawi ya misikiti ...nimekuuliza harakati zao zilikuwa vipi na zipi ...tuambie walikuwa wanadai uhuru namna gani ?kumbuka mtu aitwi shujaa kwa kubeba upanga tu au siraha tu bali uitwa shujaa kwa matukio aliyo yakabiri na kuyashinda ...wewe naona unanipotezea muda wangu bure huna IQ ndogo
Mnapiga kelele,sisi tunawatia adabu kimyakimya tu,mnashangaa kobazi kapata kura nyingi,nyi endeleeni na umoja wenu wa wakristo tzOk .Ila bado umeumia kuona umoja WA wakristo Kwa Lisu dhidi ya SSH WA Bakwata.
With reform nakwambia SSH hata Kura elfu moja hatoi
Hiyo ndiyo CHADEMA mpya. Ile ya zamani ilikuwa mostly KKKT, hawajui Bikira Maria. Ni vurugu tupu, wanatumia Maaskofu vibaya. Sala ni Dua kwa Mungu, si waraka wa Mahakamani. Hawa ni washenzi yaani Wapagani mahaini na magaidi. Tuwakatae.Ahaa. Wanasali wakristo wakatoliki. Waislam wakae mbali hapo, haiwahusu