Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Chadema utoto, ushamba na ujinga wa siasa za kichuochuo zinakiua chama.Ahaa. Wanasali wakristo wakatoliki. Waislam wakae mbali hapo, haiwahusu
Chadema utoto, ushamba na ujinga wa siasa za kichuochuo zinakiua chama.Ahaa. Wanasali wakristo wakatoliki. Waislam wakae mbali hapo, haiwahusu
Hao walikuwa wanaenda huko.kidini siyo siasa nionyeshe harakati zao za kitaifa na walicho kifanya huko kama harakati zilivyo andikwa baada ya nyerere kujiunga ...Nyerere kaenda TAA lini?..akina waikela(tabora),mpunga(lindi),mshume kiyate,tambaza walifanya harakati lini?..tungepata uhuru 1953 sawa na ghana, mkoloni kila akitazama anaona vibaraghashia tu,akasubiri apate kibaraka mvaa msalaba
Kutoonekana (wewe kutojua)rekodi hakufanyi kuwa watu hawakua na harakati kabla ya nyerere,nyerere angeunda chama chake kama alikua mwamba sana,iweje akadandie chama cha watu wa kariakoo?
'harakati zilivyoandikwa..'..na nani?..chuo cha uongozi kigamboni?..wazee waliosoma 1960s,70s,80s waala hawakuwajua akina sykes na harakati za uhuru zaidi ya nyerere, mpaka 1998 ndiyo uwongo ukawekwa peupe...Hao walikuwa wanaenda huko.kidini siyo siasa nionyeshe harakati zao za kitaifa na walicho kifanya huko kama harakati zilivyo andikwa baada ya nyerere kujiunga ...
Kudos 😁😁 sasa ukweli umeanza kukufunukia kwani wakina kinjeketile ..mkwawa mangi na wengine walikuwa wa miaka gani ? Mbona historia zao zipo iweje wa 1940 hadi 1955 historia yenu ya kupambana na mkoloni isiwepo ...hao waislamu walio anzisha vyama vya ukombozi hata mkoloni haku wa hisi uwepo wao walikuwa kama POVU LA BAHARI TU'harakati zilivyoandikwa..'..na nani?..chuo cha uongozi kigamboni?..wazee waliosoma 1960s,70s,80s waala hawakuwajua akina sykes na harakati za uhuru zaidi ya nyerere, mpaka 1998 ndiyo uwongo ukawekwa peupe...
Kudos 😁😁 sasa ukweli umeanza kukufunukia kwani wakina kinjeketile ..mkwawa mangi na wengine walikuwa wa miaka gani ? Mbona historia zao zipo iweje wa 1940 hadi 1955 historia zao za kupambana na mkoloni zisiwepo ...hao waislamu walio anzisha vyama vya ukombozi hata mkoloni haku wa hisi uwepo wao walikuwa kama POVU LA BAHARI'harakati zilivyoandikwa..'..na nani?..chuo cha uongozi kigamboni?..wazee waliosoma 1960s,70s,80s waala hawakuwajua akina sykes na harakati za uhuru zaidi ya nyerere, mpaka 1998 ndiyo uwongo ukawekwa peupe...
Kumbe chadema ni ya walokole!!Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Hili lichama limeamua kuwa linapigania wagalatia tu.Ahaa. Wanasali wakristo wakatoliki. Waislam wakae mbali hapo, haiwahusu
Hili lichama limeamua kuwa linapigania wagalatia tu.
Unaumwa bipolar!?..una hakika UK hawana taarifa za wanasiasa kabla ya nyerere!?..Kudos 😁😁 sasa ukweli umeanza kukufunukia kwani wakina kinjeketile ..mkwawa mangi na wengine walikuwa wa miaka gani ? Mbona historia zao zipo iweje wa 1940 hadi 1955 historia zao za kupambana na mkoloni zisiwepo ...hao waislamu walio anzisha vyama vya ukombozi hata mkoloni haku wa hisi uwepo wao walikuwa kama POVU LA BAHARI
Mimi siamini katika kusali kama nyenzo ya kutatua matatizo yetu ya kisiasa au kijamii.Muhimu ni kuzingatia sheria zetu za nchi,kuwa waadilifu na wachapa kazi.Kusali hakutasaidia nchi yetu kuondokana na sintofahamu iliyopo.Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Na wengine wajitokeze, tutasali nao tu. Huwezi kumlaumu mtu kwa kufanya jambo eti kwa kuwa wewe hujafanya! Na wewe fanya, ukikataliwa ndio ulalamikeKwahiyo Chama kimekua cha kikatoliki?
Check out this video from this search, nyerere na wazee wa dar es salaam https://share.google/rGCywyaeEJfxuhZraKudos 😁😁 sasa ukweli umeanza kukufunukia kwani wakina kinjeketile ..mkwawa mangi na wengine walikuwa wa miaka gani ? Mbona historia zao zipo iweje wa 1940 hadi 1955 historia zao za kupambana na mkoloni zisiwepo ...hao waislamu walio anzisha vyama vya ukombozi hata mkoloni haku wa hisi uwepo wao walikuwa kama POVU LA BAHARI
Hivi wewe unaelewa tunacho jadili hapa ?wazee wakiwa na nyerere sikatai ninacho hoji mimi zikowapi harakati kabla ya nyerereCheck out this video from this search, nyerere na wazee wa dar es salaam https://share.google/rGCywyaeEJfxuhZra
Kula chuma
Vilikuwepo ziko wapi harakati zao kabla ya nyerere ...niliwaambia waislamu kuwa kabla ya nyerere hao waislamu walikuwa wanapigania uhuru kwa kucheza bao na kunywa kahawa tuUnaumwa bipolar!?..una hakika UK hawana taarifa za wanasiasa kabla ya nyerere!?..
Kwa hoja yako hii AA,TAA havikuwepo,ikazuka tu TANU baada ya nyerere kwenda kkoo?
Umesikiliza au umekurupuka tu?..Hivi wewe unaelewa tunacho jadili hapa ?wazee wakiwa na nyerere sikatai ninacho hoji mimi zikowapi harakati kabla ya nyerere
Hao mambwa wanadaka kila uchafu wakifikiri watatoboa. Hao nyumbu ni mazombie tuWananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Nyie mambwa akili zenu ni kukariri sala za Roma? Majinga yasiyojitambua.Kobazi hawanaga akili ni maanithi wa akili ...utawasikia wanadanganya watu kuwa wao waliwai kupigania uhuru wa Tanganyika 😁😁😁
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Sija sikiliza.....ila ushahidi kuwa waislamu walikuwa wanakunywa kahawa tu ni kumkubali mkristo kupambana mbele yao ...wewe unadhani kungekuwa na waislamu haswa wenye kupigania uhudu nyerere angepewa nafasi aliyo pewa ..tumia akiliUmesikiliza au umekurupuka tu?..