Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

Ngoja aje
Hakuje kama ni kidume kweli ...waislamu wanaogopa kujibishana na mimi maana wanapoteza hata kile kidogo walichokuwa wanajivunia baada ya mimi kuufunua ukweli ...kuna huyu bibi FaizaFoxy alikuwa anasumbua sana hapa JF sikuizi kimya😁
 
Wameamua kujianika, sisi kobazi tunawatakia kila la kheri
Kwenu nyie mnaona ni sawa jinsi taifa linavyokwenda mrama kwa kuwa na viongozi wenye IQ ndogo kabisa kuwahi kutokea ktk nchi hii..

Sio kosa lako lakini, hapo ni Elimu...
 
Hakuje kama ni kidume kweli ...waislamu wanaogopa kujibishana na mimi maana wanapoteza hata kile kidogo walichokuwa wanajivunia baada ya mimi kuufunua ukweli ...kuna huyu bibi FaizaFoxy alikuwa anasumbua sana hapa JF sikuizi kimya😁
Kipi ulichosema?
 
Mbona tuko mwishoni kabisa?

Bila kujali historia ya mtu Kila anayeimba NRNE huyo ni mwenzetu kwenye agenda hiyo.

Wameshatepeta.
Tunataka matokeo, historia inaonyesha huwa wanatepeta baadaye wanakakamaa, tusiwape muda wa kukakamaa.
 
Kwenu nyie mnaona ni sawa jinsi taifa linavyokwenda mrama kwa kuwa na viongozi wenye IQ ndogo kabisa kuwahi kutokea ktk nchi hii..

Sio kosa lako lakini, hapo ni Elimu...
Mpumbavu tu wewe kama wapumbavu wengine wanaojaza mtungi wa gesi kwa kuupuliza
 
African association alianzisha nyerere?..
Wewe usidhani kuanzisha chama ndiyo kupigania uhuru ....vipo vyama hadi vya mabeberu walikuwa wanavianzisha ...hata sasa tz vyama vingi vinavyo daiwa ni upinzani siyo ni matawi ya chama tawala na vingine vimeanzishwa na tiss mfano chama CHAUMA...
 
Tuna msubiri mzee Mohamed Said
Wenzako wamemtag akuje hapa
Wewe utajadili nini na huyo mzee na umejaa umburula kichwani!?..uliisikia hotuba ya nyerere na wazee wa dar?!.. alikua mkristo peke yake,mara moja moja akija... wengine wote waislam,unakuja wewe umechambia tishu unatembea na kashata makalioni unabishabisha kijinga
 
Tunataka matokeo, historia inaonyesha huwa wanatepeta baadaye wanakakamaa, tusiwape muda wa kukakamaa.

Sore tunataka matokeo isipokuwa mwamba na timu yake. Hivi lini ulipata hatimaye ujasiri wa kumkana huyo ndugu? Ama kwa hakika alituchelewesha mno!
 
Wewe utajadili nini na huyo mzee na umejaa umburula kichwani!?..uliisikia hotuba ya nyerere na wazee wa dar?!.. alikua mkristo peke yake,mara moja moja akija... wengine wote waislam,unakuja wewe umechambia tishu unatembea na kashata makalioni unabishabisha kijinga
Na wewe ulisikia hoja yangu ambayo hapa JF waislamu walikimbia uzi ? Inajibu hayo yote
 
Sore tunataka matokeo isipokuwa mwamba na timu yake. Hivi lini ulipata hatimaye ujasiri wa kumkana huyo ndugu? Ama kwa hakika alituchelewesha mno!
Hahaha matokeo yanaweza kuletwa na strategy nzuri na yeyote mwenye strategy anaweza kuyaleta, sema strategy ya mwamba ilikuwa na mizunguko.
 
Wewe usidhani kuanzisha chama ndiyo kupigania uhuru ....vipo vyama hadi vya mabeberu walikuwa wanavianzisha ...hata sasa tz vyama vingi vinavyo daiwa ni upinzani siyo ni matawi ya chama tawala na vingine vimeanzishwa na tiss mfano chama CHAUMA...
Unajua african association (TAA,TANU,CCM)ilianzishwa na nani,wakiwa wapi?ANC ya zuberi mtemvu(kobazi),AMNUT ya sheikh suleiman takadiri (kobazi),kipindi hicho babu zako hawajabatizwa kwa masweta(majoji),chupi za mtumba na peremende
 
Back
Top Bottom