Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

Madhwalimu akiwamo mwenyewe hapo si kununa huko! Looh!
 
Undeni jeshi hakuna nchi imekombolewa kwa sala.

Taliban, hamas, Hezbollah, M23 waligundua hilo muda mrefu sisi ndio bado tuna enda kinyume na sayansi ya siasa.

Mtasali sana lakini chama cha mtandao hawatawaonea huruma.

Kwanini usianze wewe kuunda hilo jeshi?

Sehemu ngapi duniani nchi zimekombolewa na wananchi bila majeshi?

Hii njia mbona muafaka tu ndugu? Ngoja kitokote kwanza mbona kitawiva tu?
 
Kwamba mtu kutoka mara akaenda kariakoo kuanzisha chama!
Wenzako walikimbia uzi ...wakikuja wangu wangu na makanzu yao na barakashia zao ..wakicho kutana nacho kwangu hata leo mnaokuja kujibu kama wewe ni wale ambao amjui kilicho wakuta wenzeni .....kama unajua kuhusu waislamu kuoigania uhuru ndiyo uje kwenye hii hoja ....
 
Mi si nimekuuliza tu,burito nyerere alitoka butiama akaenda kariakoo kuanzisha African association, tanganyika african association, tanganyika african national union?..jibu,acha mikwala mbuzi
 
Mzee Mohamed Said huyu kijana anakuita hapa anakubagaza sana
Kama alikutana na mimi kwenye ule uzi wenye kudai waislamu ndiyo walipigania uhuru wa tanganyika awezi kuja hapa nilituma comment moja tu na nikawa tag mashehe na maustadhi wa hapa JF kabisa hakuna aliye jibu wala kubisha .....kuna tofauti ya kukaa kijiweni unakunywa kahawa na kupigania uhuru
 
Undeni jeshi hakuna nchi imekombolewa kwa sala.

Taliban, hamas, Hezbollah, M23 waligundua hilo muda mrefu sisi ndio bado tuna enda kinyume na sayansi ya siasa.

Mtasali sana lakini chama cha mtandao hawatawaonea huruma.
Na wakifanya hivyo, hadi kizazi chao cha mia kitakuwa "wiped out" in this nation! Wajaribu waone!!
 
Mi si nimekuuliza tu,burito nyerere alitoka butiama akaenda kariakoo kuanzisha African association, tanganyika african association, tanganyika african national union?..jibu,acha mikwala mbuzi
Niliwajibu wenzako walikimbia ni mashehe kukuzidi wewe 😁😁😁
 
Chama Cha Demokrasia na Mapadre (Chadema)
 
Kama alikutana na mimi kwenye uke uzi wenye kudai waislamu ndiyo walioigania uhuru wa tanganyika awezi kuja hapa nioituma comment moja tu na nikawatag mashehe na maustadhi wa hapq JF kabisa hakuna aliye jibu wala kubisha .....kuna tofauti ya kukaa kijiweni unakunywa kahawa na kupigania uhuru
Hapo nilipoweka bold
 
Bado unakata mikwala tu!?..Ili uwe sheikh ni lazima usome history ya uhuru wa tanganyika?
Sitaki kubishana na wewe watafute hao wenye hiyo historia waliopo haoa jf wa tag tukutane hapa usije kukanusha watu hapa kama yule muislamu wa jana alianza kuwakanusha hadi mashehe haoa hapa JF
 
😃😃😃 Swali dogo tu,chenga nyingi,kajambe mbele huko
 
Kwanini usianze wewe kuunda hilo jeshi?

Sehemu ngapi duniani nchi zimekombolewa na wananchi bila majeshi?

Hii njia mbona muafaka tu ndugu? Ngoja kitokote kwanza mbona kitawiva tu?
Ngoja tusubiri kitokote basi tusiwe na haraka.
 
Back
Top Bottom