Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Uhuru wa tanganyika umeanza kupiganiwa dhidi ya hao walio tuletea dini kabla hata ya sisi kuwa na dini za ukristo na uislamu..kumbuka kuwa hao walio tuletea dini ndiyo walio tupora uhuru wetu ...tumia akili wacha uzuzuUnajua african association (TAA,TANU,CCM)ilianzishwa na nani,wakiwa wapi?ANC ya zuberi mtemvu(kobazi),AMNUT ya sheikh suleiman takadiri (kobazi),kipindi hicho babu zako hawajabatizwa kwa masweta(majoji),chupi za mtumba na peremende