Mimi najiuliza kitu kimoja na sipati majibu. Hivi inakuwaje Mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua? Mbona watu wanaongeza migogoro baada ya kuipunguza?
Kweli JPM kazi unayo. Nakubali msemo wako kwamba sasa ni nafasi kwa vijana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.