Ndugu yangu Uhuru aka Kamwana,
Kuna mambo umeyafanya ambayo yameleta ghadhabu wa wakenya sasa unataka kutupia lawama mataifa jirani kama ambavyo Trump anavyolaumu China kwa matatizo yake ya ndani.
Ushauri wangu tulia jifunze kutatua matatizo wa wanakenya kwa kutumia mikakati ya kimagharibi...
Habari vijana wenzangu?
Sehemu iliyopita nilionyesha makosa wanayofanya vijana katika kuomba kazi hususasani kwenye taasisi za serikali.
Leo pia nitaeleza shortly juu ya kosa moja dogo nililoliona kwa vijana wetu Tanzania.
Kabla hujatuma maombi ya kazi jua kuwa hilo tangazo limetazamwa na...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Bungeni, Cecil Mwambe basi wamshauri (Mwambe) amwandikie Spika barua ya kujiuzulu kwake, halafu waone kama ataendelea kukaa Bungeni.
Spika Ndugai amesema hayo Bungeni leo Mei 12, 2020 na kusema kuwa maamuzi hayo yote ya...
Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua .
Vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana...
Na Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano
@MSalimu
Mheshimiwa Rais, kwanza nianze kwa kusema, hakuna mtu yoyote mwenye akili zake timamu atakayeulaumu uongozi wako kwa kuleta ugonjwa wa korona. Sio kosa lako! Ugonjwa huu hauna mjanja, umetoka ulikotoka, na umeenea kila mahala. Naamini tusingeweza kuuzuia...
Wadukuzi wa mtandaoni huwa wanatuma barua pepe milioni 18 kila siku zenye ujumbe wa uongo kuhusu ugonjwa wa Covid-19, kwa mujibu wa Google.
Mataalamu wa teknolojia anasema mlipuko wa ugonjwa huo umesababisha uhalifu wa mtandaoni kukua kwa kasi huku wakijaribu kutumia mbinu mbalimbali ili kuvamia...
Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. K.Majaliwa (MB)
Binafsi ninatambua jitihada kubwa sana ambazo Serikali imekuwa ikifanya tangu kutokea kwa mlipuko wa COVID-19 duniani na hata baada ya kuanza kupata kesi hapa nchini. Serikali chini ya uratibu wako ukishirikiana na Mh. Ummy...
Baraza la Congress la Marekani limemwandikia barua Tedros Adhamon ambaye ni DG wa WHO likimtuhumu kuisaidia China kwenye mpango wake wa siri kueneza COVID19 duniani kwa Makusudi.
Jisomee mwenyewe hapa👇:
April 9, 2020
Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus
Director-General
World Health Organization
20...
Elimu yangu ni form four niliyoipata Shule ya Jumuiya Tanga (Shule ya Jumuiya ya wazazi) na kufaulu daraja la tatu points 23 mwaka 1993. Tokea hapo nimefanya kazi na wazungu mpaka nikafikia level ya umeneja. Sikuwahi kuongeza elimu kabisa.
Kama miaka tisa sasa nina kampuni yangu ambayo mimi...
Mheshimiwa Rais!
Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania.
Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili.
Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
Na barua kutoka Google imeshatumwa Tanzania sasa jinsi ha kuipata na sikuanfika sanduku lolote nimetuma hivi:
BAKARI JUMA SALUMU
KINONDONI
DAR ES SALAAM 11000
TANZANIA
Hivo ndo nilivi jaza kwenye address yangu
HAPO SIJATUMIA PO BOX SASA JE NINAWEZA IPATA
BARUA INATOKA ADSENSE...
Kabudi akiwa anahutubia wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania wa wizara ya mambo ya nje huku niliko, Ameeleza wazi hamna nyongeza ya mshahara kwa mwaka na malipo ya masaa ya ziada yanaondolewa, Kwa vile yeye ni mjumbe wa baraza la mawaziri sitilii shaka kusema yawezekana huu ndio msimamo wa...
Mheshimiwa pole sana na majukumu ya kujenga nchi katika Wilaya ya Hai kwa kujipambanua kwa vitendo kuwatetea wananchi wanyonge katika wilaya yako unayoisimamia bila ubaguzi wa aina yoyote.
Hivi karibuni niliona ulipotembelea kiwanda cha mtu binafsi na kumtumbua mtu mmoja ambaye amekuwa akifanya...
Unawezaa ukadharau post za malalamiko hujui nani yuko humu na anasoma nini?
EWURA imeiita bodi ya Oryx kujieleleza kwanini wamepandisha bei ya gesi kuwa kubwa hivi
Msemaji wa EWURA alipoulizwa amesema ni kweli kuna kampuni tumeita viongozi wake ofisini waje kujieleza na waje na marekebisho...
Zitto kuandika barua Benki ya Dunia siyo kosa ndiyo, ila kosa ni kutumia nembo ya Bunge kuiandikia Benki ya Dunia, na kusaini barua kama Mbunge wa JMT, wakati Bunge halikuwa na taarifa rasmi kuhusiana na barua yake hiyo.
Zitto alitakiwa aandike barua hiyo kama Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo...
Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla.
Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
Wajuzi wa mambo naomba tuelemishane hapa. Kuna ndugu yangu ambaye kwa sasa ni Afisa Biashara daraja la kwanza katika moja ya Halmashauri za manispaa nchini.
Katika kufuatilia kwake ili arekebishiwe cheo chake ili awe Afisa Biashara Mwandamizi ameambiwa ataingizwa katika bajeti ya mwaka...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amedai kuna upotoshaji kuhusu barua aliyoiandikia uongozi wa Benki ya Dunia (WB) kuhusu mkopo wa Dola za Marekani milioni 500 ambao Tanzania imeomba kwa benki hiyo.
Akiwa mjini Toronto, Canada juzi, Zitto alidai si lengo lake kuzuia misaada...
Nimemsikiliza mtani akiongea kuhusu barua waliyomwandikia mkuu wa nchi. Japo alijisahau mara kadhaa akisema "niliyo mwandikia"! Nafsi inanituma niamini kaandika yeye hakushirikisha wenzake. Lakini hilo sio tatizo! Tatizo haswa ni pale alipoulizwa je ikiwa hatajibiwa atafanyaje?
Ndipo ushetani...
Nimesoma kwa ufasaha Taarifa zilizoandikwa na Mwandishi Tom Wilson kwenye Gazeti la FINANCIAL TIMES akiwa Uingereza kuwa baadhi ya viongozi wa Jamii ya Tanzania wakiongozwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu yangu Zitto Kabwe kuiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.