Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi...
Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam
======
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo la Karagwe, Mkoani Kagera, Ndg. G.M. Kitonka
Mhe. Dk. Wilson Charles Mahera,
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Dodoma,
YAH: KUENGULIWA KIHUNI KWA AMOS PETER KAHWA, MGOMBEA UDIWANI KATA YA KAYANGA, WILAYANI KARAGWE, MKOANI KAGERA
Somo...
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.
- Elimu ya maarifa, kubadili...
afya
barabara
barua
bima
ccm
chadema
elimu
fedha
haki
heslb
kampeni
kesi
kilimo
lissu
lisu
maendeleo
magufuli
mahakama
mpya
mshahara
mzalendo
pikipiki
rais
serikali
sheria
siasa
tanzania
tundu lissu
uchaguzi
uchumi
urais
usalama
ushauri
viwanda
wafanyakazi
wananchi
watanzania
watumishi wa umma
Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS, Polisi na majeshi yote)
Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani. Inauma sana.
Jeshi la polisi mkoa wa Geita lipo kwenye masikitiko makubwa...
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.
Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
Salamu to you the Sixth president of the united republic of Tanzania!
Baada ya salamu ningependa niende moja kwa moja kwenye kusudio la barua hii. Lengo la waraka huu ni kukushauri ukipata nafasi uyasemee haya yafuatayo kwa mapana yake na kwa Lugha shawishi ili Chama chetu kishinde kwa kishindo...
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na wanahabari , kumbe hata wale wabunge walioshinda rufaa zao bado mpaka leo hawajapewa barua, na kwa sababu hiyo hawawezi kuanza kampeni.
Taarifa za wajuzi wa mambo zinaonyesha kwamba hii mbinu ya konokono ni mradi wa...
Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila...
Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
Rais kama ni ushindi wa kishindo umepata, tunayajua haya kwa kuwa tuna bwana anayetupa majibu. Rais kilio changu ni kufukuzwa kazi bila kufuatwa kwa utaratibu wala kuhojiwa achilia mbali nilikuwa naumwa na taarifa nilitoa, sikukaa kimya niliandika barua Tamisemi kwa George Mkuchika wakati huo...
Mheshimiwa Dkt. Shein:
Nakusalimia kwa salamu ya Amani, Amani ya ALLAH iwe nawe
Barua hii ni kutoka kwa mwananchi na naanza kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma.
Usikubali damu ya Wazanzibari imwagike chini ya uangalizi wako. Unafahamu vizuri historia ya nchi yako, harakati za watu...
Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo.
Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua.
Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
barua
ccm
ded
january makamba
jpm
maendeleo
makamba
matajiri
mawaziri
mbunge
paramagamba kabudi
serikali
serikali za mitaa
ubunge
uchaguzi
uhusiano
wabunge
Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wanachama watatu wa Chadema walioghushi barua za utambulisho wakijifanya ni wanachama wa chama cha SAU na kutaka kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa njia ya udanganyifu.
------
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbrod Mutafungwa, alisema jeshi hilo...
Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa.
====
Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
Maana ya Usalama wa Barua Pepe (Email Security)
Usalama wa Barua pepe ni hatua zote muhimu ambazo zinatumia kulinda mawasiliano na taarifa zinazokuja au kutumwa kutoka kwa Mtu mmoja hadi mwingine. Ulinzi huu unahakikisha hakuna Mtu asiyemlengwa au kuhusika / mdukuzi anayepata fursa au nafasi ya...
Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake.
Moja ya sehemu ya barua yao waliyoliandikia Jeshi la polisi inasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.