Mheshimiwa Rais
Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho!
Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu alitusikia na alituonyesha kitu gani cha kufanya kwenye hili tatizo ili tunusurike.
Mheshimiwa Rais...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Sheikh Ponda alimtuma Katibu Muhtasi wake kupeleka barua nyumbani kwa Askofu Mwamakula , siku ambayo Baba Askofu aliitisha mkutano na waandishi wa habari wa nje na ndani .
Lengo la barua hiyo ni kutambua mchango wa Askofu Mwamakula katika kupigania Katiba mpya na...
Mji umezidi kuwa mzito aisee mwanadada Hamisa Mobeto ameandika barua ya kumshitaki Kajala kwa kutoa tuhuma za uongo kwenye post yake aliyopost hivi karibu. Kamwambia Kama atamuomba radhi kwa public na kutofuta ujumbe huo wa tuhuma dhidi yake ndani ya masaa 12 atamfungulia kesi ya kuchafua brand...
Mheshimiwa Rais!
Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU.
Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
Chama chetu cha wanaume wabahili Tanzania ( chawawa)
Kinapenda kuwatangazia wanachama wake kuwa
Kesho kwetu sisi hakuna kitu kinachoitwa Valentine day .
Bali tutashinda tukiabudu kanisani na kusifu Muumba aliye juu.
Hii ikimaanisha mengi ikiwemo swala mtambuka la gharama na kufidia pesa za...
A. UTANGULIZI
Rais wa Tanzania, John Magufuli alikuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi wilayani Karagwe na baadaye Wilayani Bukoba tangu tarehe 18 Januari 2020. Inaonekana kuwa, siku hiyo, Askofu Dr. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, aliandika barua tepe kwa ajili ya kumkaribisha Rais...
Amani iwe kwako!
Mimi nikiwa kama muumini wa Kanisa lako la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki nimeshangazwa na ujumbe ulioutuma katika barua ya wazi kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwani umeacha jukumu la msingi uliloitiwa na Mungu la kutuhubiria wananchi ili tuokoke na...
Barua zote za uteuzi za Rais wa Zanzibar zina kifungu Cha sheria au katiba kinachompa Rais mamlaka ya uteuzi.
Barua za Muungano zinakosa hiki kipengele muhimu sijui kwanini, naamini ipo haja ya kuiga wenzetu wanavyooandika.
Japo font, mpangilio wa haya barua za Msigwa zinavutia zaidi.
Mwisho...
Salaam Wana JF,
Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku.
Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
Rais Kagame alisema kwamba mpinzani wake mkuu Paul Rusesabagina alidanganywa akajileta mwenyewe nchini Rwanda.
Waziri wa Sheria nchini Rwanda amemjibu mjumbe wa bunge la Marekani ambaye alikuwa amemwandikia Rais Paul Kagame akimtaka Paul Rusesabagina aachiliwe huru , mkosoaji mkuu wa serikali...
Ndugu yangu ni mfanyakazi wa Serikalini ameajiriwa mwaka 2014 alisikia tetesi kuwa mwaka huu hauishi anaweza kuhama walau kutoka daraja alilosota nalo kwa miaka 6 kuhamia daraja lingine.
Je, kuna wilaya wameshaanza kupandisha ama Ni MITANO TENA?
Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
Hivi wadau kuna uhusiano wowote wa lugha kwa Tangazo la kazi lililoandikwa kwa kiswahili au kingereza na barua ya maombi ya kazi, inatakiwa iendane na lugha iliyotumika kwenye tangazo..?
Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa
Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
Kuna suala la hawa Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambalo wote naona tunalisahahu kulidadavua.
Ibara ya 78(4) ya katiba ya Tanzania inasema hivi
"Orodha ya majina ya wagombea wanawake iliyowasilishwa kwa Tume ya Uchaguzi na kila chama kwa ajili ya uchaguzi mkuu ndiyo itakayotumiwa na Tume ya...
Kwako Dada Halima Mdee.
Sikupi pole kwa misukosuko iliyokukuta kwa sababu naamini unaistahili kutokana na kitendo ulichokifanya.
Nitakuwa mnafiki kujifanya nakuonea huruma, wakati kiukweli kabisa sikuonei huruma hata kidogo, maana naamini kuwa tamaa ya fedha kuliko Kuheshimu imani ya wananchi...
Wanabodi,
Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar.
Wakati wa vurugu za...
Aisee! Asikuambie mtu Moshi kuna warembo..
-Leo nilikuwa Moshi kwa tukio la kihistoria la kupeleka barua na kujitambulisha kwa wazee wa binti, ila wakati nikitembea mitaani nikitazama mandhari ya jiji la Moshi nikajikuta nimetokea maeneo ya Chuo cha Ushirika Moshi, salalee kuna watoto wakali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.