barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha dhidi ya Mtumishi wa TRA anayekula rushwa wazi

    Wanabodi salaam Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
  2. J

    Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

    Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu. J J Mnyika anashangazwa sana na...
  3. msuyaeric

    BAWACHA: Spika Ndugai kuita barua rasmi kipeperushi ni kiburi cha madaraka. Amekuwa Mtetezi wa wanawake kuanzia lini?

    Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19. Ibara ya 67 (1)(b)ambayo imeweka masharti na sifa za mtu kuteuliwa kuwa...
  4. S

    Barua ya wazi kwa Mh. Rais Samia

    Mh. Rais ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hongera sana kwa kazi nzuri ya kulijenga taifa. Ninaandika hapa maana ulikiri kwamba unapitia mitandao ya kijamii.Pia kwakua umejipambanua kwamba ni mpenda haki na hutaki makusanyo ya uonevu na mabavu. Wananchi wa Tanga mjini...
  5. Analogia Malenga

    Mnyika: Tulipeleka barua za kufukuzwa uanachama Wabunge mara mbili

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12 Mnyika ametoa ushahidi huo leo, baada ya Naibu Spika wa bunge kusema kuwa hawana taarifa ya wabunge kufukuzwa...
  6. M

    Kuelekea Rais Samia kulihutubia Bunge: Barua ya Wazi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai

    Mheshimiwa Spika, Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natambua leo ni siku ambayo rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge la nchi yetu. Na mimi kama mwananchi nimelazimika kukuandikia barua hii ili kwayo uweze kutafakari, pengine itakusaidia wewe katika...
  7. THE BIG SHOW

    Barua kwako Rais Samia Suluhu Hassan

    Madam President,naomba nikusalimie kwa salam ambayo umeipendelea Sana wewe mwenyewe kuwa NAKUSALIM KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,NA KAZ IENDELEE. First and foremost,naomba nichukue nafas hii kukupa pole zangu nyingi sana KWA kifo cha aliekuwa RAIS wa Jamhuri ya muungano wa...
  8. Da Vinci XV

    Barua ya Shetani kwa Mtawa wa Kikristo 1676: Mungu ni mvumbuzi wa Binadamu

    Wasaalam, Kuna hadithi ambayo inaturudisha karne ya 17, kuhusu mtawa wa Kiitaliano ambaye alidai kuwa ameandika barua kadhaa wakati akiwa anaendeshwa na shetani Mtawa huyo anayejulika kwa jina Maria Crocifissa Della Concezione, aliamini kwamba shetani mwenyewe aliandika barua wakati...
  9. K

    Barua ya wahitimu wa chuo kada ya Ualimu kwa TAMISEMI

    AJIRA 5000 ZA WALIMU AMBAZO KIBALI CHAKE KILITOLEWA NA HAYATI DR. JPM ZIMEISHIA WAPIII?swali kwa TAMISEMI chini ya waziri UMMY MWALIMU! #Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, #Katibu mkuu kiongozi muheshimiwa Katanga, #Waziri Mkuu wa JMT, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa...
  10. Tito Magoti

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

    Tito Magoti SUMMARY: Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini. Mheshimiwa Rais, licha ya uwepo wa misingi ya kitaasisi na kisheria katika uwanda wa haki jinai, bado kuna changamoto zinazotia doa suala la utoaji haki nchini. Barua hii inabainisha masuala machache ambayo kama...
  11. N

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu juu ya Katibu Mkuu wa TAMISEMI

    BARUA YANGU YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBU MKUU WA TAMISEMI INJINIA JOSEPH NYAMHANGA. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hassani, naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa nitoe ombi langu kwako juu ya Katibu Mkuu wa...
  12. H

    Barua ya wazi kwa Wizara ya Nishati: Nashauri uandaaji wa rasilimali watu ya mafuta na gesi usimamishwe

    Poleni na majukumu yote hapo wizarani. Sina mengi sana ya kuandika ila ninao ushauri tu. Nao ni, Ninawashauri msitishe kuandaa rasilimali watu ya mafuta na gesi kwa sababu tayari wasomi wa kozi za mafuta na gesi wameshakuwa wengi ukilinganisha na ajira zilizopo na zitakazo kuwepo. Idadi...
  13. mwanamwana

    Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

    Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya “Ripoti...
  14. B

    Barua ya wazi kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT

    Naomba kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuapishwa kuwa Rais- wa JMT. Nikupe pole kwa kupata nafasi hii ukiwa katika hali ya majonzi na nikuombe usitetereke, umepokea kijiti angali nchi inakimbia kiuchumi nawe usikubali kwa namna yoyote kwenda speed ndogo kuliko mtangulizi wako, kanyaga mafuta...
  15. Mpandisha mishahara

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama! Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana...
  16. E

    Barua ya wazi kwa Watanzania: Tuibadirishe gesi asilia kuwa Petroli

    Habarini za mihangaiko ndugu Watanzania. Gesi asilia ni malighafi inayoweza kutumika kuzalisha petroli. Ndugu zangu biashara ya mafuta ya petroli ni biashara yenye faida sana. Kama tungejitahidi kutafuta mtaji tujenge kiwanda kimoja cha kuibadirisha gesi asilia kuwa mafuta ya petroli hakika...
  17. Sam Gidori

    Wanaharakati wa Italia waiandikia barua kamusi kubadilisha kisawe cha neno 'mwanamke'

    Zaidi ya watu 100 wamesaini barua kuitaka Kamusi ya Mtandaoni nchini Italia, Treccani kubadilisha kisawe cha neno mwanamke katika kamusi yake. Kampeni hiyo inalenga kuondoa neno 'puttana' kama kisawe cha neno 'mwanamke' ambalo linatafsiriwa kama 'kahaba' wakidai kuwa linamfanya mwanamke...
  18. F

    Unakumbuka nini enzi za kuandikiana barua za mapenzi?

    Miaka inaenda kasi sana, leo hii watu wanatumiana sms, emoji nk. Lakini miaka yetu wakati tunaanza kutafuta wapenzi tuliandika barua kwani haikuwa si rahisi kusimama na binti na ukaongea naye njiani. Hivo ilikubidi uandike barua na kuvizia alafu unaitumbukiza ndani ya daftari lake au kupitia...
  19. S

    Botswana: Rais Masisi kuhutubia taifa wiki hii juu ya mwenendo wa janga la Corona

    Rais wa Botswana Dr Masisi ametangaza kuhutubia taifa week hii kueleza hatua inayofuata katika kupambana na ugonjwa wa Corona. Tetesi zinasema Rais huenda akafungulia curfew iliyokuwa imewekwa tangu January mwanzoni ya kutotembea kuanzia saa moja usiku wengine wanabashiri huenda akaruhusu bar na...
Back
Top Bottom