Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara kuandaa kikao cha wadau wa Cement kujadili bei ya bidhaa hiyo.
Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa na bei ya Cement haijapanda hivyo anataka ubunifu wake utumike katika level ya taifa ambapo...
Dada halima najua uko poa kabisa
Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao
Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum
Napenda kukwambia kuwa hao...
TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda amesema baadhi ya mawakala wa vyama tofauti vya siasa wamekamatwa kwa madai ya kuzuia wananchi...
Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa Mawakala 30 wamekamatwa na polisi wakati wakiekea vituoni na wapo chini ya ulinzi.
Wito wetu ni kuwa Uchaguzi ufutwe...
Kwenu Familia ya Ali Hassan Mwinyi
1. Mzee Ali Hassan Mwinyi
Ulijiuzulu miaka ya 1970 kwa sababu ya mauaji ya watu wasio na hatia wakiwa katika mikono ya dola, leo napenda nikufahamishe mzee wetu kuwa kuna wananchi wa Zanzibar, wasio na hatia wanauawa Zanzibar bila haki, bila sababu za msingi...
Kaandiki hivi kupitia mtandao wa twitter:
Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli. Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka nimuunge mkono Tundu Lissu. Hata hivyo barua hiyo ilikataliwa kwa sababu maneno " msimamo wa viongozi...
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia...
Siasa zenye tija na manufaa kwa nchi yetu.
Vyama vyote vya siasa vyenye nia njema na watu wa Nchi hii ni muda muafaka kutembelea maeneo ya vijijini na vitongojini ili kujionea hali ya maendeleo, bado changamoto ni kubwa sana tena kwenye yale mambo ya msingi kabisa hasa Maji, Umeme, Afya, Elimu...
Habari wana jamvi!
Naam, baada ya waraka namba moja,nimewiwa tena kuandika waraka namba mbili. Lengo ni lile lie kuzisaka kura kwa udi na uvumba. Kwa maoni yangu mheshimiwa Rais mtarajiwa nakuomba siku zilizo baki kila siku usikose kuyazungumzia masuala mtambuka yafuatayo kwani yanawagusa...
“Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi. Tunaangalia timu zaidi” Cedric Kaze'
HabariLeo na Mwanaspoti
Kama kuna Kosa ambalo huyu Kocha Mburundi...
1. Tusimamie haki, tutende haki na tuhamasishe watu wetu kutotumia nguvu inayo dhuru mtu, ua watu , kupoteza watu na kuharibu uchaguzi. Toka tulipoanza na tulipofikia kuna matukio mengi tayari (kwa mujibu wa picha na malalamiko). Tunakokwenda na baada ya uchaguzi matukio hayo yasiwepo kamwe.
2...
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti.
Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais.
Wajumbe 15...
barua
chadema
hukumu
kampeni
lissu
lisu
maadili
nec
news
sababu
sahihi
siasa
tume ya taifa ya uchaguzi
tume ya uchaguzi
tundu lissu
uchaguzi
uchaguzi 2020
vyama
wote
Wakuu heshima sana,
Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima.
Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa siku saba, Lissu atatumia nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti Taifa kuwanadi wagombea Ubunge na...
Bila kujali adhabu ya Tume ni halali au ni batili adhabu ila ni ya kisheria. Sasa adhabu za namna hiyo zinaanza pale ambapo umepewa taarifa ya ya hukumu.
Kifungu 19(2) cha Law of Limitation Act, [Cap. 89, R.E. 2002] kinasema hivi,
"In computing the period of limitation prescribed for an...
YAH: Upendeleo wa wazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu huu na kutumika kuwanyima wananchi haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa
Ndugu Mwenyekiti,
wakati Taifa lingali likiendelea na mchakato wa uchaguzi kuelekea katika tarehe yenyewe ya tukio la kupiga kura tarehe...
Ukiacha swala la Lissu kuwa ndio anaetakiwa kuwa addressed kwenye hiyo barua pamoja na kasoro/makosa ya kiuandishi yanayoonekana katika barua ambayo CHADEMA wameandikiwa na Jeshi la Polisi, kingine cha kujiuliza ni nani kati ya Mwenyekiti wa chama na Katibu Mkuu wa chama anaestahili kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.