barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. MALCOM LUMUMBA

    Barua ya wazi kwa Rais Samia: lose lips sink ships

    Nakusalimu mheshimiwa Raisi. Kwa unyenyekevu mkubwa sana naandika haya kama mwananchi wa kawaida ambaye anapenda kuona wewe unafanikiwa. Huu ni ushauri, hivyo unaweza ukautendea kazi au ukaupuuza vilevile. Majuzi tarehe 18 September 2024, ulitoa hotuba nzito sana ambayo imezua gumzo siyo tu...
  2. Mdude_Nyagali

    Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

    Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na kuweka public. Nimeshaandika barua na nimewapa ndugu wote ni zamu yenu kusoma barua hii. Mdude Nyagali...
  3. M

    Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

    Ndugu Masheikh Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktk madhila yanayowakumba. NIANZE NA SULE Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii...
  4. N

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  5. Uhakika Bro

    Barua ya Wazi kwa Bw. Macrice Daniel Mbodo Head PostMaster mteuliwa

    Kwanza, tafadhali isome barua hii kwa niaba ya watanzania wote wanaotumaini katika ukuaji wa sekta ya posta nchini. Tarehe: 2Sept2024 Kwa: Bw. Macrice Daniel Mbodo Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania (TPC) Mada: Pongezi na Ushauri kwa Nafasi ya Ukuu wa Posta Tanzania Ndugu Bw. Mbodo...
  6. Magical power

    Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia:

    Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia: “Baba, Berlin ni jiji lenye kupendeza sana, na watu wananihurumia sana, lakini ninajisikia aibu ninapofika chuo kikuu kwa gari langu la Range Rover. huku maprofesa wangu wakuu...
  7. Rightman

    Barua ya wazi kwa Mhe. Waziri wa nchi ofisi ya raisi (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa

    YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa sana juu ya stahiki mbalimbali za watumishi katika Halmashauri ya Ngara...
  8. Travelogue_tz

    KERO Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Mhe. Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wa Afya, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Sisi, wadau wa sekta ya afya nchini Tanzania, tunakuandikia barua hii kwa nia ya kuwasilisha...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

    Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena? Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
  10. Boeing787-8

    Interview za Utumishi na barua kutoka Kwa serikali ya mtaa

    Hello, Naomba msaada Kwa wenye experience na interview, ntakuwa na interview next week, ila nimeambiwa kuwa lazima uwe na kitamburisho Kwa utambuzi. Nida namba ninayo ila sijapata kitamburisho, kadi ya mpiga kura ninayo ila walikosea jina. Badala ya kuandika JACKSON waliandika JACKSONI. hapa...
  11. H

    Ofisi za TRA wanasumbua kusaini au kugonga mihuri kupokea barua

    Habarini, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ofisi za serikali hasa naadhi ua ofisi za TRA kupokea barua na kukataa kugonga mhuri wa received kwenye barua ya pili anayobaki nayo mteja kwaajili ya kumbukumbu zake kwa madai wamekatazwa kufanya hivyo hadi mteja aje na dispatch book. Hivi hii...
  12. D

    yanga wasije sema barua ya kumkataa manara mashabiki hatukutuma wala kutoa ushauri. barua hii hapa

    as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

    Kwema Wakuu Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa. Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/= Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
  14. mirindimo

    CHADEMA wanaweza omba magari wakapewa pia?

  15. USSR

    Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM balozi Nchimbi

    BARUA YA WANABIHARAMULO KWA BALOZI NCHIMBI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA UTANGULIZI Mh balozi tumesikia kuwa unakuja kufanya ziara hapa Biharamulo tunakukaribisha wilayani kwetu Biharamulo ,kuja kwako ni neema ya kutatua matatizo makubwa ya kiungozi/kiutawala ya chama chetu hapa wilayani...
  16. A

    KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  17. Kyambamasimbi

    TIE Maboresho ya mtaala wa Elimu. Hivi kuna haja ya kuendelea kufundisha kuandika barua ya kirafiki mashuleni?

    Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia? Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma sms. Leo hii wadau wewe ulimwandikia lini ndugu au rafiki barua ya kirafiki?
  18. N

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mh.Waziri Mkuu awali ya yote nakupa pongezi na shukrani Kwa kulipambania taifa letu kwenye pilika za kuleta maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kulipambania taifa letu Ili lisonge mbele. Mh. Waziri mkuu nakuja kwako naleta Malalamiko yangu Kwa niaba ya wenzangu tuliokuwa...
  19. Erythrocyte

    Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  20. Mohamed Said

    Historia Zilizojificha Katika Karatasi za Barua

    HISTORIA ZILIZOJIFICHA KATIKA KARATASI ZA BARUA Picha ya kwanza hapo chini ni Mamboleo Rashid Makoko, picha ya pili ni Julius Nyerere na ya tatu ni Chief Michael Lukumbuzya wa Ukerewe. Historia za watu hawa watatu zote zinaunganishwa na historia ya Tanganyika kama ilivyokuwa wakati ikielekea...
Back
Top Bottom