MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia.
Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu.
Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili.
Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja.
Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC
Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
africa
baada
barua
east africa
fundisho
katika
kikatili
kutoka
kuwasaidia
lazima
m23
maisha
mbona
ndani
raia
tanzania
tpdf
vijana
visasi
vita
wajinga
wako
wanafiki
Wadogo zangu vijana wa Kitanzania habari zetu. Mimi ni kijana mkubwa 40+ na napenda niwaandikie barua kutoka moyoni kwangu kwa ninayo yaona miaka hii na kwa nchi yetu ya Tanzania. Mambo nitakayo yasema unaweza usayaelewe kwa wakati huu kutokana na umri wako au uzoefu wako kwenye maisha lakini...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka aliridhie nijiuzulu lakini sikukurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari nikatangaza kwamba nimejiuzulu...
Naitaka Nioe Sasa Kuna MTU kaniambia ukitaka kuoa Kuna mlolongo mrefu hadi kuandika barua kwa mkono au kutype then iende kwa binti usubiri majibu.
Binafsi Mimi ni Mtu ambae hua sipendi vitu vya kunisumbua au kusubiri hususani milolongo.
Naweza kubadil mawazo ndani ya Dakika moja
Sasa nauliza...
Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu
zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko
1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend
ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa
sababu fulani...
Matajiri 270 wanaohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) wanawasilisha kwa mara nyingine tena ombi lao la kutaka kukatwa kodi zaidi kwenye utajiri wao uliokithiri.
Kwa pamoja matajiri hao wamesema kumekuwa na gap kubwa kati ya maskini na matajiri na hivyo kuwafanya...
Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
Kwanza nataka kuongea kidogo kuhusu Putin.
Putin alikuwa na Press Conference jana. Sikuisikiza yote,lakini pale mwanzo alisema Wamarekani hawapendi compromise. Katika kilar kitu wanaleta ubabe tu. Kwa sababu wapiga kura wao wanataka kuiona serikali yao inaleta ubabe. MPAKA JAMBO BAYA LIWAFIKE...
The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” wameandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni.
Kupitia taarifa yao...
Mhe. Ummy naona kama umepanic sana, au wasaidizi wako wamepanic sana. Waambie barua zinatosha .
Issue ya ubovu wa miundombinu ya vituo vya Afya kwa ulimwengu na hali ya uchumi wa Tanzania haina pingamizi . Cha msingi kazi imefanyika kwa kiwango chake.
Kwa mantiki hiyo nikuombe msiendele...
Kama walivyoahidi jana kwenye Mkutano wao na Waandishi wa habari , leo wamekamilisha .
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha barua Ofisi ya Bunge la Tanzania, kikimkumbusha Spika wa Bunge hilo, Tulia Ackson kuwaondoa wabunge Halima Mdee na wenzake 18 bungeni, kikieleza...
Salamu ziwafikie nyote,
Naandika kwa wino unaovuja damu pia nitajitahidi kukosoa kwa staha, baada ya hosipitali ya amana kupewa hadhi ya rufaa, kuna hosipitali ilijengwa huku kivule ambayo inajulikana kama hosipitali ya wilaya ya kivule, mgonjwa anatakiwa aanzie hapo ndipo apewe rufaa ya kwenda...
Pia soma
= Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi
= Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
Katika hali ya kustaajabisha, mateka wanaohojiwa wamekuwa wakiwashukuru Hamas kwa junsi walivyokuwa wakiwatreat vizuri. Hali hii imepelekea mamlaka za Israel kuwapiga biti mateka kuwa wakae kimya kuhusu jambo hilo la sivyo watanyamazishwa. Alianza bibi mmoja mzee wa Kiyahudi akielezea jinsi...
Mheshimiwa nina taarifa mbili kama ifuatavyo:
Tarehe 24/10/2023 kati ya saa tatu na saa nne nilipita Moshi na gari binafsi nikitokea Arusha. Safari yangu hiyo ilikuwa ni safari ndefu iliyoanzia Tanga, Dar, Morogoro, Dodoma, Manyara, Arusha na siku hiyo nilipita Moshi katika safari ya Kurudi...
Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark.
Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo.
Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
Naomba kufikisha kero yangu ambayo inanigusa binafsi pamoja na Watumishi wa Kada ya Ualimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi huku Mkoa wa Kilimanjaro.
Sisi Walimu ambao tulipandishwa madaraja tangu Mwaka 2021 hadi kufikia leo ninavyoweka malalamiko haya hatujapewa Barua za Uthibitishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.