Mshtakiwa Rhoda Salum (48) anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 23.84 za mirungi, anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), akiomba kukiri shtaka lake na kupunguziwa adhabu ili waweze kuimaliza kesi hiyo.
Mshtakiwa anakabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za...
Barua ya beki, Dani Alves aliyomwandikia aliyekuwa mke wake Joana Sanz imefuchuliwa lakini beki huyo akiendelea kusota jela kufuatia kesi ya ubakaji inayomkabili.
Beki huyo wa zamani wa Barcelona, aliandika barua hiyo akiwa jela ya ‘Brian 2’ iliyopo Hispania akishikiliwa kwa mashtaka ya...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma kujibu kwa wakati barua za masuala ya kiutumishi ili kuepuka malalamiko yasiyo ya lazima ambayo yamekuwa yakielekezwa katika Ofisi ya...
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019.
Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini...
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019.
Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini...
Mzee Salum Bakari amesikitishwa na kitendo cha binti yake kuandika barua ya kuacha shule na kuuza sare zake kisha kutoroka nyumbani.
Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake amesema kuwa siku ya tukio aliitwa shuleni na Mkuu wa shule ambayo anasoma binti ake kidato cha kwanza.
“Kwanza alianza...
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!
Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo...
Barua ya wazi kwa:
Naibu Waziri,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
Tanzania.
Ndugu;
YAH: KUKOSA IMANI NA WASIMAMIZI WA MRADI WA HEET (HIGHER EDUCATION FOR ECONOMIC TRANSFORMATION PROJECT)
Tafadhali husisha kichwa cha barua hapo juu. Mimi ni mtumishi katika chuo kikuu kimoja hapa...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE.
KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO
Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
Barua ya Wazi
Assalaam Alaykum,
Sheikh Mkuu, Mufti wetu wa Tanzania, nimeguswa kukuandikia barua hii ya wazi ama kwa kuhoji na kutaka ufafanuzi, ama kwa kushangazwa na nilichokiona.
Kama nilivyoshangazwa, nimefuatilia kwa ndugu zetu wengi katika imani, ama kwa hakika, tukio ninalolileta kwako...
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB).
Mpendwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Ni imani yangu kuwa barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na mwenye nguvu...
Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria.
Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea...
Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko labelled 2. Najiuliza kwanini aya namba 1 haipo?
Bahati mbaya kila sehemu inatumika template hii hii...
Bright and Genius Editors
P.O. Box 3456,
Dar es Salaam
Phone: 0687746471
Email: bandg.editors@gmail.com
09 February 2025
Commissioner General,
Tanzania Revenue...
Picha: Mchungaji Eliona Kimaro
Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo.
Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
Ukisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material).
Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa.
Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu.
Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
Kambi ya Fisi
Mimi sijambo. Shikamooni.
Huku Dar joto tu baba na mama. Mambo mengi muda mchache.nashukuru kama mnaniombea ni jambo jema.Nami nawaombea pia.
Huku mjini baba siyo kama huko Kiparang'anda.eti umpate mchumba asikujaribu na wewe umsimjaribu. Mbona unatalia kilio cha mbwa mdomo juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.