barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. DR Mambo Jambo

    Barua ya wazi kwa Dkt. David Mnzava the Medical council of Tanganyika "Secretary and registrar"(The MCT registrar and secretary of the board)

    Nimesikitishwa baada ya kuona Barua yako Ya majibu uliyowaandikia Umoja wa WAHITIMU WA SHAHADA YA UTABIBU NA UPASUAJI, Kwa barua yako yenye kumbukumbu No.MB.131/220/01/36 ilikuwa na kichwa cha Habari kisemacho "KUOMBA KUTAMBULIKA KAMA MADAKTARI KAMILI NA WIZARA YA AFYA" Ya tarehe 22 December...
  2. saidoo25

    Barua ya wazi kwa BALILE na MERICA

    Naomba nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai japo sisi sio kwamba ni wazuri sana zaidi ya waliotangalia mbele haki. Nakuandikia Barua ya Wazi ndugu Balile na MERICA mtusaidie mambo yafuatayo. 1. Tunaomba mfuatilie kwa kini kiini cha Waziri Makamba na TANESCO kushindwa kueleza mradi wa...
  3. M

    Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani ni nani? Nina barua yake

    Wakuu heshima kwenu! Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia. Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
  4. BARD AI

    Je, Wajua Barua ya kujiuzulu kwa Papa Francis iko tayari tangu mwaka 2013?

    Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki lenye Waumini zaidi ya Bilioni 1.3 alisaini Barua ya Kujiuzulu baada tu ya kuteuliwa kushika Wadhifa huo na inasubiri tu augue kiasi cha kushindwa kutekeleza Majukumu yake ili aondoke Madarakani. Papa Francis aliyetimiza miaka 86 Desemba 17, 2022 aliikabidhi...
  5. britanicca

    Vipi ikatokea unakutana na barua ya Zuhura Yunus kuhusu uteuzi wa Kiongozi Mkubwa wa Upinzani?

    Siasa za Tanzania zina mambo, hivi siku hizi mnajua barua za uteuzi wanakadiria tumelala ndiyo inarushwa hewani. Vipi Ukakutana na barua siku moja kwamba uteuzi wa Mheshimiwa Mbowe ameteuliwa kuwa na nafasi fulani serikalini au nje ya nchi? Si lazima Mbowe, hata Lissu Au Lema? Kwa Zitto huko...
  6. CAPO DELGADO

    Barua ya wazi kwa bodi ya wakurugenzi Simba, Mwenyekiti Mangungo, Try again, Mohamed Dewji, Kassim Dewji Magori Matola na wengineo na mashabiki

    HABARI WAKUU. Heshima Nyingi sana kwenu. WAKUBWA Shikamooni. Mimi ni Mpenzi shabiki na Mdau wa mpira wa Miguu. Katika kufuatilia kwangu mpira nikajikuta ninaipenda sana club ya Simba SIMBA SPORTS CLUB. Lunyasi. Niliipenda sana Simba kwa sababu nilimpenda sana style of play. KUPIGA pasi...
  7. Raymanu KE

    Barua Rasmi kutoka kwa wanaume kwenda kwa wake zao kufuatia kinyang'anyiro Cha kombe la Dunia nchini Qatar

    Dear Wives, Tungependa kuwatia ufahamu kwamba kombe la Dunia linaanza mnano tarehe 20 Mwezi Novemba 2022 nchini Qatar na litachezwa kwa takribani siku 28. Kutokana na hilo, tunaomba kuwakumbusha nyinyi wake zetu mambo yafuatayo na myatilie maanani: 1. Kwamba muachie( surrender) rimoti za...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Pesa isiwe kipimo cha Utu, familia na taifa litaangamia

    PESA ISIWE KIPIMO CHA UTU; FAMILIA NA TAIFA LITAANGAMIA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nataka watu waelewe kuwa Maisha hayana maana yoyote Kama hautajali utu wako na utu WA watu wengine. Tafsiri sahihi ya Upendo ni kujijali utu wako na utu wa wanaokuzunguka. Koo kubwa zote zenye nguvu...
  9. Kalebejo

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
  10. peno hasegawa

    Tetesi: Afisa Elimu Sekondari Moshi Manispaa amuweka lokapu Mwalimu wa idara ya Elimu Msingi kisa Mwalimu kuuliza barua ya kazi maalum haina siku maalum

    Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujua mwalimu aliko kwa muda wa siku mbili. Kwa maelezo ya mwalimu huyo...
  11. Gamba la Nyoka

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji na Mkurugenzi wa DAWASA

    Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa. Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo yetu na mengine ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na hali mbaya sana ya upatikanaji wa maji ya...
  12. Action and Reaction

    Barua za uhamisho kutoka mkoani kwenda wizarani huchukua muda gani?

    Wanajamii wenzangu, barua yangu ya uhamisho katika ngazi za wilaya ilikamika kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine baada ya kusota kwa muda mrefu na nilishapeleka mkoani. Nashindwa kuelewa process ya mkoani kwenda wizara itachukua muda gani isije ikawa zinawekwa kapuni mana mpaka naifikisha mkoani...
  13. Erythrocyte

    Sakata la 'Plea Bargain': Wadau wamwandikia barua Rais Samia kutaka amuondoe Biswalo Mganga

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo ya Gazeti la Raia Mwema Kwamba kutokana na kuvuja kwa Taarifa nyingi kuhusu unyama uliotendwa kwenye kilichoitwa Plea Bargain, iliyosimamiwa kikamilifu na DPP wa wakati ule aliyeitwa Biswalo Mganga. Wadau wamemkumbusha Mh Rais kuhusu Makando kando ya Mtu huyo na...
  14. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  15. Idugunde

    ACT-Wazalendo kuwaponda CHADEMA kuwa hawana ofisi sio vizuri. Muwe mnawashauri kwa barua wajenge ofisi

    This is not good at all 👇
  16. L

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makala juu ya Panya Road na namna ya kuwatokomezaa pasipo kujirudia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa, Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
  17. kadendu

    DOKEZO Barua kwa Camilius Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi. Sina shaka na utendaji wako uliotukuka, pichani ni Askari wako Inspekta Emmanuel Govella ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha...
  18. R

    Kupotea (misplacement) kwa barua Masijala, Tanga

    Mkurugenzi Jiji la Tanga nakuomba ulifanyie kazi hili la kupotea kwa barua kwenye ofisi yako ya Masijala. Nadhani hakuna letter movement /trail order nzuri ya kuifuatilia barua iko wapi tangu inapopokelewa ofisi ya masijala. Kumekuwa na watu wengi masjala kuulizia barua zao "zimefia" wapi baada...
  19. N

    Waliwahi kumpinga Aragija kwa barua, wakamalizana. Leo kawafaa

    Hakuna adui wa kudumu bwana , hakuna mkate mgumu mbele ya chai, naaaam penye udhia penyeza rupia, hata watu wenye akili zao watajizima data, BOOOOM Somo kwenu kina TRY AGAIN, fungueni booster sasa katoeni hela za M-BET huko benki sambazeni kwa hawa waamuzi ndicho wakitakacho na vichenchi...
  20. Its Pancho

    Onyango aomba kuvunja mkataba, andika barua TFF..

    Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana. Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi lakini hilo sio kubwa sana. Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza...
Back
Top Bottom