Ukistaajabu ya Corona utayaona ya CCM.
Kurudi kwa Sumaye CCM na kupokelewa kwa mbwembwe wakati ambapo makatibu wakuu wawili wakiitwa kuhojiwa ni dhihaka na vichekesho vya hali ya juu.
Sumaye kwa kipindi cha takribani miaka minne ametumia majukwaa ya upinzani kuinanga, kuizodoa, na kuisema CCM...