Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao.
Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
Kwa wale ambao tumebahatika kuijua CCM kwa undani, Makali ya Magufuli yataisha mara tu baada ya Kuapishwa kuwa rais 2020/2026.
Nimemuona Bashiru Twitter akiwaonya Nape na Kigwangala kwa Mambo Binafsi,
Nahisi Bashiru ama ni mshamba mmoja ambaye hajui matumizi ya twitter ama anajitoa ufahamu...
Tumeona kila anaejaribu kukiacha chama hiki huandamwa sana na inataka ukakamavu wa hali ya Juu kuweza kuyakabili shida na mashaka utakayo andamwa nayo,wapo waliovuka vigingi vya CCM na leo wanaipelekesha mbio ila wapo walioshindwa na kurudi CCM wakiwa ni wenye kuzalilika maisha yao,
Haijalishi...
CCM walijiamisha kuwa wameua upinzani kwa manunuzi ya waunga juhudi, walifikiri kwa kufanya hivyo wananchi watachukia vyama vya upinzani.
CCM walijiaminisha kuwa kampeni zitakuwa mteremko kwa kuonyesha madaraja na ndege, kumbe kuna kitu zaidi ya ndege wananchi wanakihitaji.
CCM walijiamisha...
Leo Rais mstaafu ndugu Jakaya Kikwete akiwa Chalinze na mgombea mwenza wa Rais Magufuli, amesema kuwa Rais Magufuli anetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85 hivyo anaomba wananchi wamchague tena
Nakumbuka Katibu mkuu wa CCM ndugu Dkt. Bashiru Alli alisema kuwa Rais Magufuli ametekeleza ilani ya...
Maumivu ya uteuzi wa wagombea ubunge ndani ya CCM bado unaendelea. Japo wengi hawasemi wazi lakini chini kwa chini kuna mgogoro mkubwa.
Katika Jimbo la Tarime mjini, aliyeongoza kura za maoni ni Jackson Kangoye na aliyemfuatia ni Michael Kembaki ambaye ndio aliyeteuliwa kuwa mgombea ubunge...
Si Mnajua jamaa ameliwa tena kichwa. Alijiaminisha mchakato wa juzi atapita kwa vile mentor alisema "unaweza ukawa wa kwanza nikakukata vile vile". Mbeleko ilienda kwa watu baadhi ila kwake nyota haijasoma tunguli za kolomije hazijasoma anategemea huruma ya mwenyekiti wake ampe uteuzi CCM huko...
Ndugu Bashiru Ally alisema kuwa katiba ya sasa ni katiba isiyokidhi mazingira ya kisiasa ya nchi yetu maana ilitungwa kuenenda na mfumo wa chama kimoja.
Dkt. Bashiru Ally akasema kuwa Katiba hii ya sasa haina muafaka wa kitaifa ambapo sasa nchini kuna vyama vingi wakati katiba hii ni ya chama...
Published on Aug 17, 2020
Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu...
Salaam wanajamvi, Oct 2020 kutakua na uchaguzi mkuu wa kuchagua madiwani, wabunge na Rais wa nchi. Uchaguzi huu ni wa kwanza kwa katibu mkuu na katibu mwenezi toka wateuliwe, ni uchaguzi huu utakaoonyesha uwezo wao wa kupangua na kupanga hoja kwenye mikikimikiki ya kampeni.
Tulizoea kuwaona...
Kumekucha salama,
Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma.
Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko .
Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania ,kulialia, na kujikomba kwa wazungu.
Sababu ya ugonjwa wa deko ni malezi mabaya ya utotoni na inaonekana...
Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima
Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini?
Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa...
Katibu Mkuu,
Chama Cha Mapinduzi ,
S.L.P 50,
Dodoma.
15/07/2020.
Ndugu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, (Dkt) Bashiru Ally,
*
YAH: NDUGU PAUL MAKONDA KUVUNJA KANUNI NA SHERIA ZA UCHAGUZI KIGAMBONI.*
Husika na kichwa cha habari,
Kwa heshima kubwa sisi wana CCM Vijibweni-Kigamboni tunapenda...
Kuhusu kutenda haki kwa wagombea wote, Dkt. Bashiru amesema:
”Nadhani kama umemsikiliza Mwenyekiti wetu jana wakati anaapisha baadhi ya viongozi, alisema yeye kama mwenyekiti wa chama hana mgombea, na akaenda mbali kusema Makamu wa Rais, hana mgomnea; akamtaja Waziri Mkuu, hana mgombea...
Wanabodi salama?
Kumbe yanayoendelea nyuma ya pazia ndani ya CCM ni makubwa na yanaogofya. Kumbe hata Dkt. Bashiru yalishamshinda kufanya kazi na Magufuli na alitaka kujiuzulu?
Huu uchaguzi una mengi yaliyojificha nyuma ya pazia na ambayo yanaweza kuwashangaza watu matokeo yakitoka. Kama una...
Ndugu Bashiru Ally,
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
Mimi ni mwananchi, raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nimeamua kuchukua wasaa huu kukuandikia haya yafuatayo, kwani kwa haya niyaandikayo naamini ni ya msingi sana katika kukuza umoja na mshikamano wa Taifa letu vitu ambavyo ni...
Dkt. Bashiru ulisema Katiba ya sasa haifai kutuongoza kwani imeundwa katika mfumo wa chama kimoja.
Tangu 1995 tumeingia katika Uchaguzi wa Vyama vingi na time ya Warioba kuna na rasmi lakini Katiba haijabadilika.
Ukiwa Katibu Mkuu wa CCM msimamo wako juu ya Katiba mpya ni upi?
Mara nyingi nimesema sana humu JF kwamba kuna wakati nazishangaa sana kauli za wanasiasa wetu zinazotolewa kama vile hawana uwezo wa kufikiri. Sasa hili la Bashiru, Katibu Mkuu wa CCM kupiga kelele mbele ya jumuiya kwamba haelewi kwa nini hadi wakati huo wanachama 12 wajitokeze kugombea uraisi...
Membe anasema:
Kuhusu kugombea ndani ya CCM:
Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.