Kuuliza siyo ujinga.
Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.
Kiitifaki hiyo imekaaje?
Ni hilo tu,
Maendeleo hayana vyama!
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani.
Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally.
Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa...
Katika kuendeleza mashambulizi dhidi ya CHADEMA na Mbowe, serikali ya CCM imeiagiza TAKUKURU kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa fedha ndani ya CHADEMA. Mbali na ripoti ya CAG kueleza wazi kuwa kulikuwa na kasoro kadhaa katika taarifa za fedha za vyama vyote, vikiwemo CCM na CUF, TAKUKURU...
Habari za pilika wana wa jamii forums.
Kumekuwa na ukimya kwa mwezi mzima sasa, kati ya hawa wanasiasa wa CCM, ndugu Dkt. Bashiru Ally na Humphrey Polepole. Hawasikiki tena na mwezi umeisha siwasikii wawili hawa ambao ni watendaji wakubwa sana chamani.
Mnyika, Zitto, Habibu na wengine wa...
Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba.
Tayari wanaCCM nchini kote wamewashangaa Magufuli na Bashiru kwa kukiuka kanuni za ccm na kutoa maazimio yao...
Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:
Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.
Kufika ofisi...
TISHIO la ugonjwa wa Corona limesababisha Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akabidhiwe kadi ya uanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimya kimya, bila kuwepo shamrashamra zozote kama ilivyozoeleka.
Akizungumza jana katika hafla fupi ya kumkabidhi kadi mwanachama huyo, Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
KUHUSU HILI LA DOLA TUKIENDA TARATIBU TUTAMUELEWA KATIBU MKUU
Magoiga SN
Katika nchi inayojiongoza kwa misingi ya kidemokrasia hususani demokrasia ya vyama vingi, Chama cha siasa kinapochaguliwa na wananchi kwa kura hupewa mamlaka ya kuunda serikali, serikali hiyo iliyoundwa inakuwa serikali...
Dr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM.
Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi.
Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la...
Nimeona tafsiri potofu/uelewa finyu kuhusu Kauli hiyo ya BASHIRU, Msingi wa kauli hiyo ni dhana ya kitaaluma ya INCUMBENCY ADVANTAGES inayotumika katika Political Science.
Chanzo cha tafsiri hio POTOFU inaweza kuwa uelewa hafifu wa dhana ya INCUMBENT ADVATANGE au inafanyika maksudi ili kupata...
Kutokana na kauli alizotoa mfululizo katika siku chache zilizopita, mtu yeyote hana budi kujiuliza swali, kulikoni tena Dkt Bashiru amepoa na kutaka kujirudi hadi "kutamani" Membe aweze rejea CCM?
Ametamka mwenyewe Dkt Bashiru, akiwasihi wanaccm wenzake, wasisheherekee kufukuzwa kwa kada...
Hii tuanze tu hata bila kusalimiana wala kuzingatia itifaki maana sasa kila mwananchi ana maswali mengi kuliko majibu hivyo salamu na itifaki hazisaidii kutafuta majibu ya maswali vichwani wa wananchi.
Tujiulize; Bashiru anashauri Membe ajiunge na upinzani na huko akagombee urais. Sasa kwa...
Rais magufuli ni mgeni kwa Mambo mengi ya kisiasa ndio maana ameharibu kila mahali nitamsamehe kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai.
Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia...
Katibu mkuu wa CCM amesema kama Membe anasema kilichomfukuzisha CCM ni nia yake ya kugombea urais basi agombee kupitia chama kingine na wakutane kwa debe.
VIDEO: Dk Bashiru asema kama tatizo urais tukutane na Membe
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa mbele ya kamati kuu ya CCM wiki hii tayari kwa kufanyiwa maamuzi.
Kadhalika Dr Bashiru amesema swala la katiba mpya ni la mchakato wa muda mrefu na siyo la wiki moja kama wenye tamaa ya kwenda...
Kwa mtu makini na mwenye uelewa mpana wa siasa au wale wana CCM makini na wenye upeo mkubwa hawawezi kukubali kuwa huku kuhamia kwa wapinzani kwa maana ya Wabunge na Madiwani ni ishara ya kukubalika kwa CCM au kuboreka kwa sera zake, la hasha!
Kuna kitu hapa kinasukwa kwa ustadi na " gharama"...
Baada ya Bashiru Ally kufika Ndanda amejionea hali ilivyo ngumu , ambapo alivuna wanachama watatu tu wa Chadema na kuamua kukimbia mwenyewe , huku akiondoka na mapendekezo ya kumpeleka Cecil Mwambe Jimbo la Masasi baada ya kuona ukubwa wa Chuki za wananchi kwa Mwambe , imejulikana kwamba Mwambe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.