Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani.
Chanzo: ITV habari
------
MWANDISHI...
Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm.
Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa.
Source Watetezi tv
Maendeleo hayana vyama!
Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao.
Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa sana! Wako well calculated, organization yao iko very perfect, na Cordination yao is much super.
This...
Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini..
Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi lenyewe lilifanyika kiholela holela tu...watu wengi, Hasa Wafanyakazi hawakuweza kujiandikisha.
Halafu...
Katibu Mkuu wa CCM atafanya Kikao Kazi Na Balozi wa China Mhesh Wang Ke kuanzia saa 4: 00 asubuhi ya leo Oktoba 10, 2020.
Matangazo ya moja kwa moja kutokea Ukumbi wa Chuo Cha Uongozi Cha Mwalimu Nyerere Kibaha kupitia Televisheni za TBC na Channel 10
Tafadhali mkumbushe & Mtaarifu mwenzako
Kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi Tanzania, Comrade Bashiru Ali a.k.a Mchuuzi wa ndizi aliwaonya wapinzani wao kwamba tayari alikuwa katika harakati za kisayansi ya siasa za kusimika MITAMBO ya ushindi wa kishindo. Inaonekana wapinzani wa ccm hawakumuelewa, sasa kwa kilichotokea Tunduma...
Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili
Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age.
Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa, wala si kufanya chama kisonge mbele hata kidogo
Wale CCM...
Imetolewa na Said Said Nguya
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ameeleza kuwa baadhi ya wanasiasa mpaka kuisha kipindi hiki cha Kampeni, wataokota makopo kwa kukosa uelekeo wa siasa. Ameyasema hayo leo tarehe 19 Septemba, 2020 katika kikao cha Halmashauri kuu ya...
Heshima sana wanajamvi,
Katibu Mkuu wa chama chochote ukiondoa vile vyama vya msimo wa uchaguzi ndiye mtendaji mkuu wa shughuli na utendaji wa chama za kila siku.Chama tawala CCM kimewabadili makatibu wakuu kwasababu mbali mbali lakini nyingi kati ya hizo sababu ni kushindwa kwenda na wakati au...
Hii kauli ameisema Tundu Lissu mara mbili akimhusisha Bashiru Ally Katibu mkuu huyu wa ccm...
Mosi ni pale Bashiru alipomdhihaki Mh Lissu juu ya sera yake ya Uhuru akirudia alichokisema Mkapa 2015 akisema Tanzania tayari iko huru kwa nini lissu anazungumzia Uhuru?
Bila ajizi na bila kupepesa...
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
"Wanaohama CCM...
ORODHA KAMILI YA VITI MAALUM UBUNGE NA UDIWANI KUTOLEWA BAADA YA USHIRIKI WA KAMPENI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum, ambapo ameeleza kuwa, kwa upande wa Udiwani aliyeshinda kura za maoni ndio...
ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau...
Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa
Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa
Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru...
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka...
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema suala la mgombea kupitishwa bila kupingwa ni la Kikatiba na kwa maana hiyo CCM ni mnufaika au muathirika tu wa kanuni hiyo pale inapotumika.
Naye Askofu Bagonza amesema ni dharau na mateso makubwa kuwaongoza watu ambao hawajakuchagua.
Maendeleo...
Katibu Mkuu wa CCM(T) Msomi Dkt. Bashiru Ally anatarajiwa kuwepo katika kipindi cha TV cha Dakika 45 (ITV).
Unakaribishwa kusikia
1 - Mambo makubwa yaliyofanywa na CCM Kimataifa, kikanda, kitaifa hadi ngazi ya Kata na vijiini kwa kipindi kifupi cha miaka mitano ya Rais Magufuli.
2 - Sera na...
Profesa Kabudi alisema wazi, kuwa kwenye ishu ya muungano, wazanzibar mambo yao yako mezani, yako well documented isipokuwa yale ya Tanganyika. Akasema anaogopa siku watanganyika watakaponyanyuka na kudai mambo yao
Humphrey Polepole akasema, Katiba ya Sasa inampa Rais wa sasa madaraka makubwa...
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji.
Dkt. Bashiru amaema“Naona Hamis Kigwangalla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.