Pamekuwa na kambi mbili katika uteuzi huu na msaada wa wadau wa katiba na sheria unaweza kutupa mwanga.
Najua kuna jukwaa la mambo ya sheria lakini uteuzi huu una athari za kisiasa ambazo inawezekana kwa sasa hazipo wazi.
Tusaidieni tujue ukweli ni upi?
Nampongeza sana Dr Bashiru Ally, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary. Ila nina reservations mbili tu.
Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku-run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake ni mwalimu UDSM. Na hajawahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara yoyote ya serikali. Hilo ni moja.
Pili...
Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally.
Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk
Karibu.
Updates:
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
Inakuwaje wanajamvi!
Sijawahi kumuona katibu mkuu mpya kiongozi ndani ya suti. Sasa hivi piga ua garagaza zika fukua lazima atinge suti tu.
Kama ilikuwa masharti imekula kwake.
Wanabodi,wengi watakua wameshtushwa na uteuzi wa Dr. Bashiru ambae ni Katibu Mkuu wa CCM kupewa wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi,ila sidhani kama jambo hili limefanyika kwa bahati mbaya!!!
Kabla ya yote naomba turejee sakata la raisi Magufuli kutajwa tajwa kuwa yupo mbioni kubadili katiba(haswa...
Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja.
Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork.
Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na...
Najua Wapinzani hawatafurahia swali hili lakini chini ya jua lolote linawezekana.
Nawaona komredi Polepole na ndugu Makonda wakipiga jalamba kurithi mikoba ya Dr Bashiru aliyehamia Ikulu kama Katibu mkuu kiongozi.
Kwa mbali namuona Dkt. Mwigullu Nchemba naye anatroti.
Ufipa kaeni chonjo...
Hiki ni Kijiji cha Mbigiri kata ya Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambacho kinaoongozwa na diwani anayefahamika kwa jina la Watende Rashidi na mw/kiti wa kijiji anaitwa Jalala.
Viongozi hawa kwa pamoja wanashirikiana KUPORA na KUUZA mashamba ya wananchi katika kata hiyo...
Wanabodi heshima kwenu!
Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya kumrithi Rais Magufuli.
Duru za siasa mikoani zinaeleza kwamba, sehemu kubwa ya Wabunge waliopitishwa...
Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.
Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya...
Kwa wale ambao tumekuwa tunafuatilia mambo tunakumba jinsi Katibu mkuu wa Ccm alivyowahi kukiri hadharani kuwa Ccm ina tatizo la kuwa na ombwe la viongozi.
Hii ina maanisha viongozi wa CCM wapo tu ila hawajui wajibu wao kama viongozi. Ndio maana kuna shida kubwa juu ya kutatua kero za wananchi...
Semina hiyo Muhimu ilifanyika katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi wa Jumuiya za Chama za UWT, UVCCM na Jumuiya ya Wazazi
Kamarada Bashiru Ally pia aliwakabidhi Wenyeviti Wa Kamati hizo Hotuba ya Rais Dkt John Magufuli aliyoitoa wakati akifungua Bunge la Jamhuri...
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
Alianza na kauli, kwa kusema chama chenye dola kushindwa kutetea dola yake ni uzembe!. Alishangaa iweje uwe na dola kisha upoteze dola.
Naam!. Kwenye uchaguzi huu tumeona alichomaanisha!. Bila shaka sote tuliona nini maana ya kutumia dola kubaki na dola, Tulishuhudia Kura kwenye vikapu vya...
Wakati kampeni za uchaguzi Mkuu zikielekea ukingoni Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali amesema chama chake kimefanya kampeni za kisasa na kistaarabu.
Dk Bashiru amesema licha ya mikutano ya chama hicho kufurika watu wengi haikuwa ya ghadhabu na hasira bali upendo na furaha vilitawala.
Amesema...
Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni...
Tarehe 15 Oktoba, 2020, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, atakutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.
Mazungumzo hayo yatafanyika Ofisi Ndogo za Makao Makuu Lumumba jijini Dar es salaam kuanzia mida ya saa nne...
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.
Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.
Source: Radio One
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.