Ukweli hawa jamaa wamekuwa kama Maksai au Ng'ombe waliohasiwa. Ngombe akihasiwa bwana huwezi kumkuta kule mbele wala pembeni ya kundi anakuwa tu katikati anachanganyika na majike na ndama. Hatari tupu!
Dr. Bashiru kwa sasa hata hiyo title ya kuanza na Udaktari hana hamu nayo. Sidhani kama...
Aliyekuwa katibu mkuu kiongozi,katibu mkuu wa CCM na balozi asiyekuwa na Portfolia Mh Mbunge kwa sasa Dr.Bashiru Ali na ambaye alikuwa mhadhiri katika chuo kikuu cha Dar es salaama kabla ya kutwaliwa na mwendazake pamoja na wengine waliotwaliwa kutoka Jalalani na kupewa nafasi ya kuwa watumishi...
KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa.
Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
Busara na msimamo ndio jambo la msingi sana kwa mwanadamu anayejitambua, kujiamini na kujipanga kwa kesho yake.
Ajali ya kisiasa aliyoipata Dr. Bashiru ni pigo kubwa kwake na kwa watu waliokuwa wanamuamini. Bashiru ametupwa nje ya ulingo wa utawala wa siasa za CCM na sasa anakwenda kutumika...
Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........
Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho na kiapo kilekile Balozi Mulamula amesema Mimi....NAAPA KWAMBA....
Kwanini Dr. Bashiru aseme...
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.
Mungu ibariki Tanzania.
Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025.
Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
Akiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli.
Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi yangejitokeza.
Mradi yupo kwenye rekodi na aliongea waziwazi kuwa, anataka Rais Magufuli amalize mda...
Wengi humu humu walitabiri nani angekuwa makamu wa rais wakimtaja hata Dk Bashiru Ally. Wengine walisema wazi waligemea mhe Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa atupwe. Haiwi haiwi huwa. Sijui mnajisikiaje ambao watu wenu wametoswa? Ni swali tu.
Kitendo Cha msomi na mdogo wangu Bashiru kukubali uteuzi wa KMK nikitendo chakumdhiaki Mungu lakini ni ishara ya kiongozi asiyefaa kupewa madaraka makubwa Wala madago kwani aamini na atendi kinachotoka moyoni mwake.
Huyu ndugu yetu ametioka mbali na hii tabia, msimamo wake wakati wa katiba...
Naandika pasipo tashwishwi yoyote. Kuna hoja aliwahi zungumza msomi wa Siasa Dr. Bashiru kuwa CCM itatumia Dora kubaki madarakani. Nikawaza je na yeye anaweza tumia Dora kubaki katika nafasi yake?
Lakini nmesikitika kuona Prof wangu Kabudi akibagazwa kwa ile nafasi ambayo alikuwa nayo...
Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.
Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.
Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya...
Hii sio kawaida kabisa katibu mkuu kiongozi kuhudumu kwa muda wa mwezi mmoja tu.
Japokuwa aliyemteua aliaga dunia kwa mapenzi ya Mungu hii sio kawaida, ni sawa na mtu alikuwa anaviziwa itokee bahati mbaya ili avurumishwe nje.
Katibu mkuu kiongozi ni nafasi nyeti na kubwa sana hapa nchini. Mtu...
Wale 'untouchables' waliokuwa wanapigiwa kelele na watanzania hatimaye wameanza kushushwa mmoja baada ya mwingine.
Baada ya Kakoko na Bashiru kushushwa sasa inafata zamu ya Dotto kushushwa. Wapo wengi, muda ukifika wote watenguliwe nyadhifa zao ili kuondoa ile sintofahamu iliyokuwa imejengeka...
Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.
Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na hawana haja...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Maendeleo hayana vyama!
Habari za wakati huu wanachama wa jamiiforums
Baada ya kuapishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, mzee Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana wetu sisi waafrika. He was supposed to go and condole the family of his predecessor.
Nina imani kubwa...
Kwa siasa za sasa ni dhahiri tunahitaji Katibu Mkuu anayekijua Chama from the scratch. Aliyekulia ndani ya Chama na aliyepikwa ndani ya Chama. Tumeona madhara ya kuchukua watu juu kwa juu.
Ndio maana sasa tunatumia jukwaa hili kushauri namna mpya ya kusuka Chama Cha Mapinduzi. Kwa kuteuwa watu...
Wanabodi tuwe tunaweka kumbukumbu pamoja na kusoma "between the lines" anapoandika mtu uzi wake. Tuongeze uwezo wa kutafakari na kudadisi ili kupata faida kuepuka ramli.
Siku za hivi karibuni nikiandika uzi humu ndani nikieleza kuwa Urais wa Kassim Majaliwa unasukwa na SG wa CCM Dk. Bashiru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.