Sijafurahishwa na mfululizo wa kejeli, matusi na majibu dhidi ya Dr. Bashiru mara baada ya yeye kutumia Uhuru wa kikatiba wa kujieleza.
Nafahamu akiwa "mtoto pendwa" awamu ya 5 Dr. Bashiru aliwahi kunena maneno ya makufuru dhidi wa watanzania kwamba "ccm itatumia hata vyombo vya dola ili...
UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.
Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc
Time will tell!
DR. BASHIRU ALLY WAKULIMA WAMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHA WAMSIFIE ANAUPIGA MWINGI CHUKI YA NINI?
DR. BASHIRU ALLY Acha serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN ifanyekazi yake ya kuboresha Mazingira ya Kilimo nchini. Chuki, kinyongo na Uchochezi hauna nafasi acha...
Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya...
Hali isiyokuwa ya kawaida tarehe 17 Novemba, 2022 wakati wa mkutano wa wakulima Dr. Bashiru Ally aliongea maneno yenye chuki, kuvunja moyo na yenye uchochezi na kumgombanisha Rais na wakulima ili hali wakulima wanajua mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha muda mfupi...
Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani.
Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
In the Cabinet Bashiru says “I felt … very compelled to ensure that other survivors who do get the courage to report their assault to have that process done with respect and dignity,” he said, admitting that he had made a mistake and was issuing a “frank apology” to Mama samia Suluhu.
Bashiru...
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu...
Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha.
Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani.
Waliahidi vyeo kwa wapinzani wanaokuja CCM bila kujali uwezo wao na nchi kwa ujumla
Walirekodi kwa kudukuwa...
Nukuu za aliyoyazungumza Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, leo Jumatatu Februari 7, 2022:
"Sikiri kuwa, kuna makundi yanayoutaka urais kwa maana wanasubiri ratiba kugombea, bali kuna makundi haramu yanayotaka kugombea urais 2025 ambao wanaanza mapema kabla ya wakati, mimi kundi...
Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.
Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke?
Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha mbalimbali walizoidhinisha kutumika na hazionekani kufika Kwa walengwa. Mchakato huu unaelezwa kuwa mkakati...
Maneno ya Bulembo!
Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.
Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.
Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi...
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.
Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na...
Kulikuwa na kizungumkuti gani na kigugumizi gani kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli (deceased) kutotekeleza kwa 100% ripoti ya Tume ya chama ya Bashiru Ally?
Je, kutotekeleza ripoti hiyo siyo kwamba inaashiria matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa Tume hiyo ambayo sasa ni kama...
Nawapongeza sana Mkonda na Dr. Bashiru kwa kuwa waungwana hasa wakinata na ile methali isemeyo mtu mzima akivuliwa nguo uchutama. Wahishimiwa hawa waungwana na watu ambao walifanya kazikubwa sana wanaweza kuwa vijana wa mfano wa kuigwa na vijana wengine kutokana na upepo ambao ulikuwa ukisuma...
Tuanze na CCM chama ninachokipenda.
Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo.
Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.