Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku, nilipomuangalia yule kuku kumbe alikuwa amekufa. Nikamuuliza mbona umebeba kuku mfu, akawa hana majibu.
Basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu, jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.😭...