battery

  1. THE BATTERY CONNECTION ERROR PLEASE CHECK BATTERY STATUS

    Habarini wakuu naombeni mnisaidie mawazo ya kwanza kuna simu (smartphone?)imechajiwa hapa kwa mpaka imefika 85% galfla imestop yani haiingizi charge kila tukichomeka kwa chaja inaleta tu ujumbe huo juu
  2. Hii Radio ilikuwa ukisimama yashika stations zote ukiketi Hazifanyi ...na battery zikiisha Unaskia chwiiih tutuh sound

    Hii Radio ilikuwa ukisimama yashika stations zote ukiketi Hazifanyi ...na battery zikiisha Unaskia chwiiih tutuh sound
  3. Simu za Google pixel 4a zimepata ugonjwa wa kufa battery πŸ”‹

    Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a Kuuza ni ngumu Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia...
  4. K

    Je, ni kawaida battery kupiga kelele wakati inachaji?

    Hamjamboni wana jf, napenda kujua, je, ni kawaida 'lead acid battery' kupiga kelele kana kwamba inachemka wakati inachajiwa kwa solar panel? Elimu tafadhali
  5. Kuna Tesla Model 3 imefikisha kilometa 500,000 na bado iko na original battery inayosoma Battery Health 85%

    Kuna mwamba ameshare Model 3 yake likiwa na odometer ya miles 316,270 ambazo ni sawa na kilometa zaidi ya laki 5. Gari bado ipo kwenye original battery, na imepungua battery kwa asilimia 15 tu tokea iwe mpya. Kwa izo kilometa, kama angekua na gari la engine, linalomtaka afanye oil change...
  6. Ukifuatilia, Chawa karibu wote hata darasani walikuwa vilaza, yaani uwezo mdogo, Low battery!

    Mpo wazima! Awe Chawa wa CHADEMA! Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule. Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani. Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
  7. T

    Survey, Supply, Installation, and Commissioning of Back-up Battery Bank and inverter System at The School of St Jude – Moshono Campus

    Interested parties are hereby invited to tender for the Survey, Supply, Installation, and Commissioning of Battery Bank and Inverter System at the School of St Jude – Moshono Campus. For more details, see the attached document.
  8. Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  9. TV inaonesha battery charge 100%

    Wakuu, nimenunua TV ya kichina mpya, iko vizuri tu. Ila cha ajabu kwenye kona juu kulia, inaonesha alama ya battery na 100%, sijui inamaanisha nini?
  10. K

    Kwa Al Hussein Spare Parts, Tanga: Njoo ujipatie vipuri, betri na vifaa vingine vya magari

    Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k. Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892. Usisime spare, sema Kwa Hussein Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
  11. China Kuja na Battery itayokaa na Chaji kwa hadi miaka 50πŸ€”

    === Betavolt, kampuni mpya ya Kichina, inadai kuwa imeendeleza betri ya nyuklia inayoweza kuwasha simu za mkononi kwa miaka 50 bila kuchaji upya. Betri hiyo inatumia nishati ya atomiki iliyopunguzwa kwa ukubwa, ikiunganisha isotopi 63 za nyuklia ndani ya moduli ndogo kuliko sarafu. Kupitia...
  12. L

    Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

    Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
  13. INAUZWA Mashine ya kupima battery ya gari (Car Battery Analyzer)

    Hii mashine ni nzuri sana na sifa ya kipekee kuhusu hii mashine ni kwamba inakuwa reference table upande wa nyuma hivyo kumuwezesha mtu yoyote hata ambaye ni layman kuweza kupima battery yoyote na kujua kama ni nzima. Ina uwezo wa kuanalyse na yenyewe ikakuambia state of health ya hiyo...
  14. Phone4Sale Google Pixel 4a 5G 128GB / 8GB Ram Battery 3885maH

    Jipatie Google Pixel 4a 5G iliyotumika USA (Second Hand) Warranty 6 Months 0764081567 Free Charger Free Cover Free delivery in Dar es salaam
  15. Phone4Sale Google Pixel 5 5G 128GB / 8GB Ram BATTERY 4080mah

    Jipatie Google Pixel 5 yenye 5G iliyotumika USA (Second Hand) Warranty 6 Months Imenyooka sana Grade A imetumika kwa upendo sana 0764081567 Free Charger Free Cover Free delivery in Dar es salaam
  16. Toshiba Portege Z30-c Battery Needed

    Nina shida na battery ya hiyo pc 0659190552 Hata used ina njia 7
  17. Battery ya Router yangu inakaa masaa machache, nitumie power bank yenye 10000 Mah badala ya battery ?

    Nina pocket router huwa naitumia katika shughuli zangu, uwezo wa battery yake umeshuka na sasa inakaa masaa mawili ama matatu tu. Nina power bank ina 10000 Mah, nataka niwe naitumia badala ya battery ya hio pocket router. kuna sehemu imeandikwa hivi Je kitaalam ntakuwa nimetatua tatizo ?
  18. A

    Msaada wa battery ya Nokia 2.1

    Za asubuhi wakuu Naulizia kwa hapa bongo wapi nitapata battery ya simu tajwa Naipenda huwa kanatunza chaji Sana toka 2019 mwanzoni Hadi Sasa . Week ya pili Sasa nasikia harufu Kama ya lithium battery karibu na port ya kuchajia simu na naona Kama self discharge Ni kubwa Sana ..an average of...
  19. Je, ni kwanini VETA hawatoi mafunzo ya ku-repair battery za magari ili tuokoe mabilioni?

    Kuna mbinu nzuri na rahisi inaweza kutumika, hii itaokoa mabilioni tunayotumia kuagiza battery nje ya nchi, pia itatoa ajira maelfu kwa maelfu. Akina Binslum wanaweza kuzimia kwa pressure baada ya kutizama hii video hapo chini.
  20. B

    Battery ipi ni nzuri kwa N60 ya IST

    Wadau napenda kujua battery nzuri ya gari. Nilinunua TOP POWER hata miezi 7 haijafika inazingua mara asbh igome kuwasha gari. Msaada kwenye tuta
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…