Tanzania kuzalisha battery ambazo zitajaa kwa mda wa dakika 5 lengo ni kuokoa muda unaotumika kuchaji

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mambo tutakayofanya kama nchi ni kuzalisha battery zitakazotumia dakika 5 kujaa na hii itakuwa sio tu battery za simu, bali itajumuisha battery za ndege, helicopter na rockets

Fahamu battery ya ndege inatakiwa baada ya km 2000 ndo liishe na lijazwe kwa dakika 5 kwa hiyo unaona kabisa inahitajika ubunifu mkubwa sana

Battery ya rockets inatakiwa baada ya rockets kutembea km billion moja ndo liishe chargi na linatakiwa lijazwe kwa mda wa dakika 5-kwa hiyo ni wazi unahitajika ubunifu mkubwa sana kwenye kutengeneza battery la namna hii

Niunge mkono hoja, kama unaweza piga simu marekani sasa hivi ukiwa hapo kigamboni na simu ikapokelewa hivyo hivyo unaweza charge simu kwa hizo dakika na ikajaa kutumia ubunifu tofauti kama ilivyo simu inavyopigwa
Hayo mambo hata sisi tunaweza yafanya ila ndo hivyo sio kipaumbele kwa viongozi
Technologies ina ukwasi mkubwa sana kwa nchi
 
Huwa nafikiria sanaa kwenye upande wa internet kuunganisha bara la Africa nzima katika internet ya uhakika na yagarama nafuu na kupatikana kwa internet mpaka katika ngazi za vijiji huko ndani ndani.

Kwa concept moja " everything is energy " na energy ipo kila mahali
 
WEE jamaa wewe duuhh....
 
Mh. Mtukufu muheshimiwa Raisi ajaye tumelaliwa Sana tumenyonywa Sana huu UMASKINI ni wakujitakia tupo hapa tulipo sababu ya kukosa viongozi wa juu wenye akili kubwa na maono yaliyo juu.

Kwa sasa tumekupata wewe tukushikilie kabisa kabisa naiona nchi ya ahadi.

Mbaya zaidi tafiti zinaonyesha madini ya kutengeneza simu na betri tunayo hapa hapa nchini

Mh. Raisi mtukufu mtarajiwa naomba kuwakilisha.

Nakala kwa

dosho12
Castle_Lite
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
 
Hamna kitu hapa
 
Hamna kitu hapa
Ntakueleza pole pole utaelewa kama niliweza kukuelewesha NO REFORMS NO ELECTION

Ntakupa lecture kidogo kidogo UNAYAJUA MADINI YA KOBATI? unajua yanapatikana kwa wingi hapa nchini kwetu ?

Muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa anasema ataunda viwanda vya kutengeneza betri ZITAKAZO kua zinajaa ndani ya dakika 5 TU.

Just imagine how muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa ALIVYO na maono makubwa makubwa makubwa sina budi tumu unge mkono kwa kila Hali na mali.
 
Sio kweli mbona simu mpya bado zinatumia mda mrefu kujaa chaji
Ni kweli, ni kwakuwa tu kampuni nyingi hazijaadopt hio teknolojia, lakini the fastest charging phone ni simu ya Realme inatumia 320W supersonic charger inajaa kwa dakika 4:38

kwa upande wa gari,rocket ndio bado wako kwenye development kuunda battery zinazojichaji(wamefanikiwa na prototype zipo) hivyo haitahitaji hata hizo dakika5 maana inajichaji muda wote.
 
Mh. Mtukufu muheshimiwa Raisi ajaye tumelaliwa Sana tumenyonywa Sana huu UMASKINI ni wakujitakia tupo hapa tulipo sababu ya kukosa viongozi wa juu wenye akili kubwa na maono yaliyo juu.

Kwa sasa tumekupata wewe tukushikilie kabisa kabisa naiona nchi ya ahadi.

Mbaya zaidi tafiti zinaonyesha madini ya kutengeneza simu na betri tunayo hapa hapa nchini

Mh. Raisi mtukufu mtarajiwa naomba kuwakilisha.

Nakala kwa

dosho12
Castle_Lite
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
Muheshimiwa waziri wa nishati majibu,
 
Ni kweli, ni kwakuwa tu kampuni nyingi hazijaadopt hio teknolojia, lakini the fastest charging phone ni simu ya Realme inatumia 320W supersonic charger inajaa kwa dakika 4:38

kwa upande wa gari,rocket ndio bado wako kwenye development kuunda battery zinazojichaji(wamefanikiwa na prototype zipo) hivyo haitahitaji hata hizo dakika5 maana inajichaji.
Kuna prototype za technologia nyingi sana nyingi zimeishia huko huko maabara na chache sana zinafanikiwa kuwa na prototype hakukupi guarantee ya kufanikiwa

Battery haitakiwi kutumia Watts zote hizo 320 ni nyingi sana inatakiwa isizidi Watts 50 na ijae ndani ya dakika 5
 
Teknolojia ya battery za Lithium ndio ina hizo limitations, kama utafanikiwa kuiboresha ama kuja na nyingine, sawa.
 
Back
Top Bottom