Tanzania kuzalisha battery ambazo zitajaa kwa mda wa dakika 5 lengo ni kuokoa muda unaotumika kuchaji

Tanzania kuzalisha battery ambazo zitajaa kwa mda wa dakika 5 lengo ni kuokoa muda unaotumika kuchaji

Mheshimiwa ana nia njema naona China wameunda battery zinazojichaji kwa kutumia bakteria, pia battery zinazoweza kukaa na chaji kwa zaidi ya miaka50 kwa kutumia Nuclear energy mambo ya isotopes, nuclear fission!
 
Ili huo mda unaobaki wa Tanzania wautumie kufanya Nini?
 
Ntakueleza pole pole utaelewa kama niliweza kukuelewesha NO REFORMS NO ELECTION

Ntakupa lecture kidogo kidogo UNAYAJUA MADINI YA KOBATI? unajua yanapatikana kwa wingi hapa nchini kwetu ?

Muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa anasema ataunda viwanda vya kutengeneza betri ZITAKAZO kua zinajaa ndani ya dakika 5 TU.

Just imagine how muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa ALIVYO na maono makubwa makubwa makubwa sina budi tumu unge mkono kwa kila Hali na mali.
Narudia hamna kitu hapa, science sio maelezo ya mdomo ni process.

Hebu break it into simple process, ili hata asiye jua ajue.
 
Narudia hamna kitu hapa, science sio maelezo ya mdomo ni process.

Hebu break it into simple process, ili hata asiye jua ajue.
Process inaanzia kwenye idea au imagination kwa kiswahili ni wazo
Kumbuka hata ndege idea ilikuwa zamani sana haikuanzia kwa wale ndugu wawili waliorusha ndege in short walizikuta idea wao wakatekeleza kitu walichokikuta

mimi kwangu process inananzia kwenye idea/imagination/wazo Nikuulize swali wewe process inaanzia kwenye nini???
 
Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mambo tutakayofanya kama nchi ni kuzalisha battery zitakazotumia dakika 5 kujaa na hii itakuwa sio tu battery za simu, bali itajumuisha battery za ndege, helicopter na rockets

Fahamu battery ya ndege inatakiwa baada ya km 2000 ndo liishe na lijazwe kwa dakika 5 kwa hiyo unaona kabisa inahitajika ubunifu mkubwa sana

Battery ya rockets inatakiwa baada ya rockets kutembea km million 100 ndo liishe chargi na linatakiwa lijazwe kwa mda wa dakika 5-kwa hiyo ni wazi unahitajika ubunifu mkubwa sana kwenye kutengeneza battery la namna hii

View attachment 3371623
Zamani kulikuwa na chizi msomi mtaani, Kila muda ana peni na vitabu na note book kadhaa.....
Yule jamaa alikuwa ana kiinglishi Cha Hali ya juu na uelewa wa sayansi wa kutosha, ila kwa bahati mbaya ghafla akawa haonekani Tena.... nashukuru kukutanq na wewe Tena ndugu yetu!
 
Ulivyokuwa mjinga unadhani kuniita chizi umenikomoa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ulivyokuwa mjinga unadhani kuniita chizi umenikomoa 🤣🤣🤣🤣🤣
Usifupishe mkuu, "chizi msomi"....
Material ya hizo battery yapo kabanga project Bado haijaanza, upo ahead ya majority ila ulipoandika kuchaji rocket, hapo ndio kwenye shida!
 
Usifupishe mkuu, "chizi msomi"....
Material ya hizo battery yapo kabanga project Bado haijaanza, upo ahead ya majority ila ulipoandika kuchaji rocket, hapo ndio kwenye shida!
Kama jambo wewe unaona haliwezekani ni wewe
 
Back
Top Bottom