min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mno yaniNakaza tena
Mno yaniNakaza tena
Mno yaniNakaza tena
Mno yaniNakaza tena
🤣😂Nakazia kwa ukali zaidi
Naunga mkono juhudi za raisi wetu maana akishayafanya anayoyasema basi vijana wataajiriwa kwa sana.Mh. Mtukufu muheshimiwa Raisi ajaye tumelaliwa Sana tumenyonywa Sana huu UMASKINI ni wakujitakia tupo hapa tulipo sababu ya kukosa viongozi wa juu wenye akili kubwa na maono yaliyo juu.
Kwa sasa tumekupata wewe tukushikilie kabisa kabisa naiona nchi ya ahadi.
Mbaya zaidi tafiti zinaonyesha madini ya kutengeneza simu na betri tunayo hapa hapa nchini
Mh. Raisi mtukufu mtarajiwa naomba kuwakilisha.
Nakala kwa
dosho12
Castle_Lite
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
Mie nadhani afanye kwanza ili tumpe kura.Jamaa unaishi kwenye utopia ya hali ya juu, sijui iundwe tume upimwe brain cells.
Hakika anayo maono makubwa sanaMh. Rais mpaka sasa kura yangu umeshapata
Hakunaga tuzo ya matusiFvck
Mpimeni kwanza huyu Rais mtarajiwa akili.Ntakueleza pole pole utaelewa kama niliweza kukuelewesha NO REFORMS NO ELECTION
Ntakupa lecture kidogo kidogo UNAYAJUA MADINI YA KOBATI? unajua yanapatikana kwa wingi hapa nchini kwetu ?
Muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa anasema ataunda viwanda vya kutengeneza betri ZITAKAZO kua zinajaa ndani ya dakika 5 TU.
Just imagine how muheshimiwa Raisi mtukufu mtarajiwa ALIVYO na maono makubwa makubwa makubwa sina budi tumu unge mkono kwa kila Hali na mali.
Kwa ku-comment hivi unadhani umenikeraMpimeni kwanza huyu Rais mtarajiwa akili.
Kwenye hili umechelewa and kwa namna technology inavyokua kwa Kasi sasa hivi kitu ambacho wewe unakifikiria wenzako ndio wako kwenye hatua ya mwisho ya kufanya implementation.Process inaanzia kwenye idea au imagination kwa kiswahili ni wazo
Kumbuka hata ndege idea ilikuwa zamani sana haikuanzia kwa wale ndugu wawili waliorusha ndege in short walizikuta idea wao wakatekeleza kitu walichokikuta
mimi kwangu process inananzia kwenye idea/imagination/wazo Nikuulize swali wewe process inaanzia kwenye nini???
Litatumia mechanism ganiKwenye hili umechelewa and kwa namna technology inavyokua kwa Kasi sasa hivi kitu ambacho wewe unakifikiria wenzako ndio wako kwenye hatua ya mwisho ya kufanya implementation.
Sasa hivi watu wanafikiria betri ambalo linachajiwa Leo na chaji yake inakuja kuisha baada ya miaka mia ijayo.
Wakati wewe unawaza betri ijae kwa angalau dakika tano wenzio wanawaza kwanini betri isijae hata kwa kuswipe kama unavyoswipe card kwenye mlango ili ufunguke?
Hadi uwe Rais!?Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mambo tutakayofanya kama nchi ni kuzalisha battery zitakazotumia dakika 5 kujaa na hii itakuwa sio tu battery za simu, bali itajumuisha battery za ndege, helicopter na rockets
Fahamu battery ya ndege inatakiwa baada ya km 2000 ndo liishe na lijazwe kwa dakika 5 kwa hiyo unaona kabisa inahitajika ubunifu mkubwa sana
Battery ya rockets inatakiwa baada ya rockets kutembea km billion moja ndo liishe chargi na linatakiwa lijazwe kwa mda wa dakika 5-kwa hiyo ni wazi unahitajika ubunifu mkubwa sana kwenye kutengeneza battery la namna hii
View attachment 3371623
NdioHadi uwe Rais!?
Soma huu Uzi 𝗪𝗮𝘁𝗮𝗳𝗶𝘁𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗯𝗲𝘁𝗿𝗶 𝗹𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗸𝗮𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟱,𝟳𝟬𝟬 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶𝘄𝗮Litatumia mechanism gani
"Sasa hivi watu wanafikiria betri ambalo linachajiwa Leo na chaji yake inakuja kuisha baada ya miaka mia ijayo"
Fahamu kila jambo lina enda juu na kushuka chini sidhani kama hilo litawezekana kwamba betri kukaa miaka mingi bila kuchajiwa
Fahamu wao wanawaza na hakuna products ambayo mtu wa mwisho anatumia wanawaza tu kama mimi
Hakuna kitu kama hicho hizo ni academic exercise ndo maana wakasema in future